Miti7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 1,081
- 1,958
Hiyo kucustomize ndiyo na wewe unajiita IT guruHaya ndiyo yanawafanya watu waonema IT wabongo hakuna kitu. Hata ukichukua script lazima ziboreshwe ziongezwe security ziwe customized.
Haya mambo ya kuchukua tu vitu unaweka ndo maana miwebsite ya nchi hii iko hovyo ina security vulnerabilities nyingi.
Watu siyo wajinga kuinvest millions of dollars kuwalipa maexpert kufanya kazi.
Eti security, Security ya web au app yoyote ni backup tu siyo kitu kingine chochote