Kutengeneza App kama hizi mbili natakiwa niwe na mtaji kiasi gani?

Kutengeneza App kama hizi mbili natakiwa niwe na mtaji kiasi gani?

Mkuu Maxcomm ni Ya Tanzania na Maxmalipo ilikuwa project kubwa tu, kuna software nyingi za kizawa zinafanya vizuri,
Km nimemwelewa vizuri,jamaa atakuwa anamaanisha app inaweza kuwa ya kizawa kbs Ila hakuna App iliyotengenezwa na mzawa ikafanya vizuri sokoni,ndy akazitolea mifano hizo alizotaja

Vp kuhusu maxmalipo ilitengenezwa hapa hapa bongo na wazawa? Au bongo ilikuja kuzinduliwa Tu?
 
Maxmalipo ni ya hapa hapa

Pitia hapo pia kuna projects nyengine.
 
Maxmalipo ni ya hapa hapa

Pitia hapo pia kuna projects nyengine.
Maxmalipo wametengenezewa solution na wahindi huwa wanaficha tu ukweli😆
 
Km nimemwelewa vizuri,jamaa atakuwa anamaanisha app inaweza kuwa ya kizawa kbs Ila hakuna App iliyotengenezwa na mzawa ikafanya vizuri sokoni,ndy akazitolea mifano hizo alizotaja

Vp kuhusu maxmalipo ilitengenezwa hapa hapa bongo na wazawa? Au bongo ilikuja kuzinduliwa Tu?
Wakuda wamewaachia watu ma machine Yao na hakuna kitu unaweza kuyafanyia.Hovyo sana.
 
Wakuda wamewaachia watu ma machine Yao na hakuna kitu unaweza kuyafanyia.Hovyo sana.
[emoji23][emoji23]IT wa TZ ni mandezi kweli. Hii field inatakiwa uwe consistent na uwe una improve product daily. Walishindwa hata kuja na wazo la kutumia barcode unascan unatembea. Naanza kuamini kuwa ni wa hindi hawa waliunda hio
 
Mkuu Maxcomm ni Ya Tanzania na Maxmalipo ilikuwa project kubwa tu, kuna software nyingi za kizawa zinafanya vizuri,
MAXCOM alikuwa na 2 Zimbabweani (nawajua in and out) Developer wa App za MAXCOM ni Wahindi na wajua tena sana nna nna mpaka few email communications with this Developer kama unataka I can PM you their Discussions juu ya wao na MAXCOM
 
Kwa uzoefu wangu kama mtu wa IT for more than 20 yrs !
Hongera bwana IT. Miaka 20 sio mchezo!
Hapa Tanzania Developers awapo Serious na Coding na awawezi tengeneza hizi app unazotaka wewe! Mimi nnatumia Wahindi ambao wapo Makini na kazi na wanakeep promise japo garama kidogo.
Naona Wahindi wako vizuri kupokea hela za wafanyabiashara wa Bongo na nchi nyingine. Kuna haja ya kujifunza namna wanavyofanya kwa vijana wetu ma IT wa Bongo!
Kuna majamaa wamewaingiza mkenge Saccos zaidi ya 40 hapa Tanzania Waliwaambia kuwa wana Software nzuri kwa Saccos ,Ya Kizawa ,Ina ubora ,wakawa wanaawaambia Saccos waachane na software za kigeni wao wamekuja na suluhisho la software za Saccos!😂😂😂Sasa hivi Awapokei simu za Wateja ni madudu matupu waliowauzia hizi Saccos! Hizi saccos zitake zisitake ili waweze kuendana na Sheria za Benk Kuu lazima wanunue Software nyingine.
Kama hizo Saccos 40 hazijapata software nyingine naweza kuwasaidia kupata suluhisho kwa bei nafuu ili kupunguza maumivu. Kama wote 40 bado wana uhitaji wa world class solution, tuwasiliane. Ni maumivu sana kununua Software, kuna better ways!
 
Salaam..

Kuna hizi Apps mbili 1.JIJI 2.Zoom Tanzania amabazo ni platforms za kuconnect wateja na wauzaji wa bidhaa mtandaoni Kwa hapa Tanzania,naomba kujua from the scratch mpaka zinaanza kuoperate zinaweza kumghalimu mtu pesa kiasi gani.
Zinaitwa classified ads platforms. Kutengeneza na ku operate ni vitu viwili tofauti. Ku operate kuna server na maintenance costs, kulipa watakaokuwa wanaiendesha, customer service, et al. Development ni ine time cost
Vitu Kama;
1.kudesign na kutengeneza App yenyewe itanicost kiasi gani
As minima:
Web Platform: 10 - 15mil
API: 3 - 5mil depending na operations zipi kwenye web platform zinakuwa kwenye mobile app
Android App: 7 - 15mil depending on APIs
iOS app: 7 - 15 mil depending on APIs

Minimum = 10 + 3 + 7 + 7 = 27mil
Maximum = 15 + 5 + 15 + 15 = 50mil

2.gharama za kuiendesha
3.wafanyakazi
Hapa ni maintenance contract itasema. Inaweza kuwa fixed or incrementing with time with a ceiling. Wafanyakazi itategemeana na expertise unayoitaka na market price. Pia your negotiation powers.

4.usajili(naanzia wapi namalizia wapi pamoja na gharama zake)
Sijawahi kusoma mahali kwamba kuna registration ya aina yoyote. Check na lawyers though kama sheria, especially EPOCA na Cybercrime haizina vipengele vya kukubana. Pia unaweza fanya spying/kuomba kujua hao uliowataja wana vibali gani official kama vipo!
 
Zinaitwa classified ads platforms. Kutengeneza na ku operate ni vitu viwili tofauti. Ku operate kuna server na maintenance costs, kulipa watakaokuwa wanaiendesha, customer service, et al. Development ni ine time cost

As minima:
Web Platform: 10 - 15mil
API: 3 - 5mil depending na operations zipi kwenye web platform zinakuwa kwenye mobile app
Android App: 7 - 15mil depending on APIs
iOS app: 7 - 15 mil depending on APIs

Minimum = 10 + 3 + 7 + 7 = 27mil
Maximum = 15 + 5 + 15 + 15 = 50mil

Hapa ni maintenance contract itasema. Inaweza kuwa fixed or incrementing with time with a ceiling. Wafanyakazi itategemeana na expertise unayoitaka na market price. Pia your negotiation powers.

Sijawahi kusoma mahali kwamba kuna registration ya aina yoyote. Check na lawyers though kama sheria, especially EPOCA na Cybercrime haizina vipengele vya kukubana. Pia unaweza fanya spying/kuomba kujua hao uliowataja wana vibali gani official kama vipo!
Mkuu asante sn..umechambua vizuri sn na umenipa mwanga mkubwa..kwa sasa sina swali maana hmeyajibu maswali yangu yote,Ila nakuhakikishia nitakuwa nakutafuta mara kadhaa endapo nitakwama mahali
 
Show or name to Me Software gani imetengenezwa na Watanzania/Mtanzania??
What about this boss?

And it is not the only Software made in Bongo!

NMB wametoa mpaka Sandbox WaTZ wadevelop app mpaka leo ngapi zimetengenzwa???
Nimeamua kunyamaza ila kuna mengi ya kusema hapa!

COSTECH mpaka Microsoft walitoaga Funds ku incubate software Developer todate kuna software ngapi zipo sokoni??
Ulishawahi kufanya kazi pale au unaongea from theoretical experience?
 
Back
Top Bottom