Niite mjuaji au niite jina lolote baya upendalo ila siku 1 utanikumbuka!!Sawa bwana mjuaji!
😀😀 Wingi unaanzia mbili. Una swali?
Sina muda. Unataka kuifanya hiyo kazi?
Sawa bwana bize! Jenga nuclear na Tanzania tuheshimike kama Putin!
Sawa mr. Much Know!Niite mjuaji au niite jina lolote baya upendalo ila siku 1 utanikumbuka!!
Hahahaaa!Kweli site yako ina blog posts 2 halafu unapoteza muda hapa jf
Mwingine anazo ngapi? Na mimi JF ninazo ngapi?Mmoja ya waasisi wa hii jf ana post zaidi ya 1000 hapa jf lakini wewe post 2 unasema ni nyingi na tayari umepata nafasi ya kusurf jf badala ya kuwa bize na site yako binafsi
Bado una utoto mwingi sana MrSawa mr. Much Know!
Hahahaaa!
Naona umekomaa na site siyo? Hongera!
🤠🤠🤠
Mwingine anazo ngapi? Na mimi JF ninazo ngapi?
Kwa hiyo kwa kigezo chako bwana mjua yote, Mike unamuweka kundi gani?
Check profile yake hapa Mike Mushi
Sawa mzee!Bado una utoto mwingi sana Mr
Mtusaidie tusojua hayo mambo ndio IT au computer science?
Mkuu unaweza kudevelop mobile application kama unaweza nicheck, 0687746471Kwa website and app development please tucheki fasta tutakuhudumia www.pawahost.co.tz