Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

Unasubiri tamko la Chadema, tatizo lako huwa unasikiliza uhuru fm, na kusoma magazeti ya ccm, utajua saa ngapi cdm wametoa tamko tena walikuwa chama cha kwanza kabisa kufanya hivyo.
 
hili la kibanda sijui mtaalam wa anga anajinasuaje maana limemkalia vibaya. anyway nashauri ajitokeze kukanusha vinginevyo hili lita-injur reputation ya cdm totally
 
Sasa kama tz daima wamepotosha sasa wewe tupe ukweli wa mambo na ushahidi wako ili tuone upotoshaji!
 
Fine! Namimi niwakatiwangu wa kusema kitu....tulieni niseme, jamani mimi nimtanzania wakawaida kabisa tena wa maisha ya hali ya chini.... Kifupi hali inavyoonekana kwa sasa hakuna amani wala nafuu ktk tz.... Huyu RIDHIONE NA NDUGUYE NAPE siwa2 wakupigia kelele sana ili waelewe tunacho sema nakumaanisha.... Nadhani anachokidhani Nape nikuwa watz wote niwajinga kama alivyo yeye. Naminadhani kauli ya Makamba kuwa ccm na kikwete wanaimaliza tz hajakosea. Nami nadhani kama ccm ingejua moja yaw2 ambao hawakupaswa kuwemo ndani ya chama ni Nape. Maana huyu jamaa kuropoka ndo kawaida yake huwa hana points za maana. Kingine huyu Ridhione Kikwete simtu wa kupigia kelele sana. Nikijana mdogo sana. Anachodhani mageti ya ikulu atakaahumo 4reva. 2mwombe Mungu 2 katiba ijayo wasiingize maoni yao mle maana wakiyachakachua maoni ya watz hapo hatutamfanya k2. Jamani hata kikwete aondolewe kinga ya kutomshtaki. 2nataka wtz tumpeleke ICC kwa Okampol. Msjari wtz hawa wanapesa sisi 2naMUNGU watawatesa wanahabari, madokta, walimu. Lkn haki huwa haipotei ipo2.
 

Nafikiri ingekuwa vema kama ungesema alipopotosha na ukahitimisha na ukweli wa hilo. Ukipinga tu Tz Daima bila kutupatia ukweli wewe ndo utaonekana mpotoshaji. Au wewe ndiye Ridhiwan au Nape? Kama sio, kwanini usiache wakajitetea wenyewe? Jamani, tuitumie mitandao hii vizuri; vinginevyo mitandao itatutumia tu.
 

...Afande mmalizia... ok kumbe ma afande wapo cdm?
 

Kwani umesikia wapi kuwa kila tukio limehusishwa na serikali au ndo kiwewe chenyewe?
 
CCM inabidi watolewe madarakani walau kwa miaka mitano tu, hapo ndio wataelewa kwamba cheo ni dhamana na si mtaji
 
Kwanin chama kilichoongoza kutoa matamko kwenye media kuhusiana na tukio la ulimboka wapo kimya kwenye tukio hili la kutekwa na kupigwa kwa Absalom Kibanda ????.wapi mnyika,slaa,mbowe,mbilinyi,lema,msingwa,wenje,heche???

Kwani wamekuwa kova? kova ndiye mwenye matamko yake ya kisinemasinema na wala sio CHADEMA
 

Mwajiriwa kuacha kazi sio lazima awe na bifu na muajiri. Wahariri kibao wameshapita freemedia na kuondoka lakini hakujawahi kusikika hata siku moja kuwa wamevamiwa na kuumizwa. Tumia ubongo kutoa hoja na sio kutumia MIKALIO YAKO MICHAFU.
 

.
Yaani mpaka hapo ati waandishi wa habari wanajifanya bado hawamjui mbaya wao.
Aliyebuni muundo wa bahasha za khaki, kafanikiwa kuua dhamiri za nafsi nyingi sana za wasio hatia.
.
 
Rais wetu ndio anayetakiwa kuwa mkali kwa familia yake na kuwaeleza wanamweka mahali pabaya kama kiongozi wa nchi.Labda kama hili hawalielewi.Unless kama Urais wake ni wa Familia yake.

Hilo halina mjadala mkuu kwani wakati wa kampeni mwaka 2010 alitamka yeye mwenyewe kuwa urais ni wake na familia yake na ndiyo sababu kampeni alifanya yeye (Jakaya), mke wake (Mama Salma) na mwanaye (Ridhiwani). Na katika kuhakikisha kuwa wanakuwa karibu zaidi wote amewapigia chapuo na kuwaingiza kwenye halmashauri kuu ya chama.
 
huyu dogo mjinga sana anafikiria baba yake atakaa kwenye madaraka milele hajui mwenye uamzi wakutoa uhai ni Mungu tu
 
Mmezoea kwenye maswala ya msingi nyie mnaingiza propaganda,mnajaribu kuua membe kwa kutumia nyundo,TIME WILL TELL lazima 2015 muondoke magogoni tu.
 
hali imekuwa mbaya dunian.ubinaadam umetoweka dunian.usoni watanashati rohoni wanyama.
 
.....Unless kama Urais wake ni wa Familia yake.

Unajua kuna baadhi ya wazazi wanawaogopa watoto wao...hivyo hata mtoto afanye madudu gani ya kumdhalilisha mzazi wake hawezi kumkemea...liangalieni na hili kadhia hii.
 
Ridhiwani na Nape ni wajinga sana, nchi ikiingia machafukoni, watakuwa wa kwanza kuwindwa. Jifunzeni toka nchi jirani
 
Km vyombo vyetu vya usalama vingekuwa makini hawa watu wawili wankekuwa wanahojiwa ili kupata ukweli na nawasiwasi kuwa wanaweza wahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…