Kutetea Haki sio lazima uwe Chadema. Wapo Wanaccm wanaopenda Haki kuliko waliopo Chadema

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Poleni na Msiba! Kwa wale mnaofurahia hongereni!

Ndugu zangu, kila siku Taikon nawaambia kuwa Haki ni jambo la mtu binafsi. Ni kama Imani tuu.

Kamwe usije ukajiunga Dini au Chama fulani cha siasa kwa sababu ati kinajifaragua kutetea HAKI. Nope! Haki haipo katika Chama au Dini. Haki hukaa moyoni mwa mtu.

Hata wanaosema uislamu ni Dini ya Haki ni watu wasioelewa falsafa. Lakini sio kosa Lao.
Au wanaosema Ukristo ni Dini ya Upendo ni watu wasioelewa Falsafa. Pia sio kosa Lao.

Haki ni msimamo wa mtu binafsi. Ni imani na falsafa ya mtu binafsi. Hilo wenye Hekima na Akili wote duniani wanalijua.

Kuna rafiki zangu waliopo CHADEMA kila mara nilikuwa nikibishana nao kuhusu hili na dhana potofu waliyonayo kuwa Chadema inapigania Haki jambo ambalo sio kweli.

Chadema ni chama cha Siasa ambacho hupigania Maslahi yake kama vyama vingine.

Nawaambiaga, ikiwa Chadema ni chama cha haki mbona watu wakikihama mnawatukana na kuwarushia Maneno makali ilhali ni haki yao kuchagua upande wautakao.

Ikiwa chadema ni chama cha haki mbona huwabagaza ambao sio chadema hasahasa ndugu zao wa CCM. Wanajibu ni siasa. Na ndipo hapohapo tunaondoa Haki.

Kwenye siasa hatutarajii Haki itendeke kwa kiwango kikubwa. Kwa sababu siasa ni maslahi ya watu fulani waliojiunga katika kikundi fulani kilichoitwa chama cha Siasa.

Ni kosa kubwa kwa kijana mdogo hasa ambaye huelewielewi mambo, umetoka familia maskini, unamke na watoto na unategemewa kutaka Haki kupitia Kile kiitwacho Siasa. Utapotea na upo kwenye wrong way.

Wapo wanaccm wanahaki kuliko baadhi ya wanachadema. Na wapo wanachadema wanahaki kuliko wanaccm.
Lakini huwezi sema chama fulani cha siasa kina haki kuliko chama kingine.

DR HAYA LAND 30 JR
Retired
Siasa ndivyo zilivyo. Unpredictable kwa sababu hakuna Haki.

Taikon master
Kwa sasa Dar es salaam
 
Kama kuna mtu anafurahia kifo cha mtu mwingine basi ana shida kichwani

Kifo kwa wengine ni sherehe.

Mimi nitese familia yako na kuharibu maisha yenu alafu siku nimevuta kamba ati msifurahie. Mtakuwa akili zenu zimeganda.

Au mna unafiki wa kiwango cha juu kabisa.

Sio kosa kulia mtu unayempenda Akifa.
Pia sio Kosa ukifurahia adui usiyempenda Akifa.

Mitazamo ya jamii za kinafiki ndio huwaza kwa maoni yako
 
Mmmh kama binadamu tumefika huku basi kazi ipo
 
Mkuu, Gabachori rostam aziz anapopolewa leo na komredi polepole, tega sikio
 
Ya Gwajima hukuyasikia, alitokea chama gani na alikuwa anatetea nini?
 
Mmmh kama binadamu tumefika huku basi kazi ipo

Binadamu tangu zamani hawabadiliki tabia mkuu.

Mtu ameua watoto wako, au kakutesa, alafu unasikia amekufa utaacha kufurahi?

Ninaweza kukupa mifano elfu moja ya watu walivyofurahia vifo vya adui zao.
Sio kosa.

Ulichoeleza ni dhana potovu.

Wewe kama unataka watu walie siku ukifa kuwa mwema, kuwa na tija.
Sio uwe jambazi, mdhulamati, muuaji, mvunja ndoa za watu, mbakaji alafu ukifa aliowatendea wasiweke tafrija.
Hiyo haipo.
 
Kifo kwa wengine ni sherehe.

Mimi nitese familia yako na kuharibu maisha yenu alafu siku nimevuta kamba ati msifurahie. Mtakuwa akili zenu zimeganda.

Au mna unafiki wa kiwango cha juu kabisa.

Sio kosa kulia mtu unayempenda Akifa.
Pia sio Kosa ukifurahia adui usiyempenda Akifa.

Mitazamo ya jamii za kinafiki ndio huwaza kwa maoni yako
Kumbe wakati mwingine una akili
 
Poleni na Msiba! Kwa wale mnaofurahia hongereni!

Ndugu zangu, kila siku Taikon nawaambia kuwa Haki ni jambo la mtu binafsi. Ni kama Imani tuu.

Kamwe usije ukajiunga Dini au Chama fulani cha siasa kwa sababu ati kinajifaragua kutetea HAKI. Nope! Haki haipo katika Chama au Dini. Haki hukaa moyoni mwa mtu.

Hata wanaosema uislamu ni Dini ya Haki ni watu wasioelewa falsafa. Lakini sio kosa Lao.
Au wanaosema Ukristo ni Dini ya Upendo ni watu wasioelewa Falsafa. Pia sio kosa Lao.

Haki ni msimamo wa mtu binafsi. Ni imani na falsafa ya mtu binafsi. Hilo wenye Hekima na Akili wote duniani wanalijua.

Kuna rafiki zangu waliopo CHADEMA kila mara nilikuwa nikibishana nao kuhusu hili na dhana potofu waliyonayo kuwa Chadema inapigania Haki jambo ambalo sio kweli.

Chadema ni chama cha Siasa ambacho hupigania Maslahi yake kama vyama vingine.

Nawaambiaga, ikiwa Chadema ni chama cha haki mbona watu wakikihama mnawatukana na kuwarushia Maneno makali ilhali ni haki yao kuchagua upande wautakao.

Ikiwa chadema ni chama cha haki mbona huwabagaza ambao sio chadema hasahasa ndugu zao wa CCM. Wanajibu ni siasa. Na ndipo hapohapo tunaondoa Haki.

Kwenye siasa hatutarajii Haki itendeke kwa kiwango kikubwa. Kwa sababu siasa ni maslahi ya watu fulani waliojiunga katika kikundi fulani kilichoitwa chama cha Siasa.

Ni kosa kubwa kwa kijana mdogo hasa ambaye huelewielewi mambo, umetoka familia maskini, unamke na watoto na unategemewa kutaka Haki kupitia Kile kiitwacho Siasa. Utapotea na upo kwenye wrong way.

Wapo wanaccm wanahaki kuliko baadhi ya wanachadema. Na wapo wanachadema wanahaki kuliko wanaccm.
Lakini huwezi sema chama fulani cha siasa kina haki kuliko chama kingine.

DR HAYA LAND 30 JR
Retired
Siasa ndivyo zilivyo. Unpredictable kwa sababu hakuna Haki.

Taikon master
Kwa sasa Dar es salaam
Kwasababu hujataja majina kusapoti hoja yako, basi wewe na hoja yako ni ya kijinga na kipumbavu!
 
Back
Top Bottom