Kuteua watu kabla ya kuwajulisha: Wapi kwingine duniani wanafanya hivyo?

Aisee
 
Abdul analihaibisha hili taifa kwa kweli, jamaa ni kilaza tu sielewi kwanini anasikilizwa na Mama
 
Mtu alishasema ndoto yake ilikuwa awe muhudumu wa kwenye ndege .

Shule ikamshinda kidato cha nne akapiga Bashite akaamua aolewe mke wa 4 akiwa na miaka 18

Do you expect anything tangible from her?
Aisee, wewe?Umehitimisha kabisa!
 
CCM wanaweza kufanya haya na isiwe ajabu, kile chama na watu wake wanaweza kila kitu.
 
Ni kama vile hiyo taasisi haina hata mtu mmoja mwenye common sense!

Sijawahi kabisa kuielewa hii dhana ya kuteua watu bila hata ya kuwajulisha!
Mbona inasemekana jamaa kafariki akiwa anaenda kituo kipya Cha kazi? Sasa hakufahamishwa vipi?
 
Lazima tujifunze kutii na kuheshimu Katiba. Ndo hii ambayo tunayo. Kama unataka ibadilidhwe kubaliana na upinzani wanaotaka mabadiliko ya Katiba
 
Nahisi hiyo ndo kazi anayoiweza vizuri kuliko majukumu yake yote kama prezidaa
 
Watajijua bana ..
Mbona Wanakopa matrilioni bila kutushirikisha Wananchi.

Wakati Wao hawatalipa..tutalipa sisi . Mamaee..
 
Umemsikia hasunga alichokisema? Watu mnapenda kuongelea mambo ambayo hayawahusu

Fanyeni yanayowahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…