kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na uingereza na duniani kote walikoendelea.
Kwanini usawa huu wa jinsia usianzie kwanza kwenye kupata elimu, kilimo, uvuvi, uchimbaji, usafirishaji, uhandisi, sheria ya ndoa, na maisha ya kawaida?
Huwezi kuwezi kuweka Waziri mwanamke kwenye wizara ya uvuvi wakati 99% ya wavuvi ni wanaume.