Kwa hiyo mh.Dr Tax amebebwa?!!! Khaaa 😲🤣🤣🤣🤣Hii wizara nilikua napenda siku moja iongozwe na Mtu aliyetoka TMI ,JWTZ, TISS .
Mtu mwenye Vinasaba Kazikazi.
Sasa anatuletea mwanamke, kisa yeye ni mwanamke.... Akitegemea Mwanamke atamsaidia Mwanamke yeye kupata uungaji mkono wa Hivo vyombo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Rais ni mwanamke na Marekani hawajawahi kuwa na Rais mwanamke?Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na uingereza na duniani kote walikoendelea.
Kwanini usawa huu wa jinsia usianzie kwanza kwenye kupata elimu, kilimo, uvuvi, uchimbaji, usafirishaji, uhandisi, sheria ya ndoa, na maisha ya kawaida?
Huwezi kuwezi kuweka Waziri mwanamke kwenye wizara ya uvuvi wakati 99% ya wavuvi ni wanaume.
Swali lako ni kama lina chembechembe za ubaguziIdadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na uingereza na duniani kote walikoendelea.
Kwanini usawa huu wa jinsia usianzie kwanza kwenye kupata elimu, kilimo, uvuvi, uchimbaji, usafirishaji, uhandisi, sheria ya ndoa, na maisha ya kawaida?
Huwezi kuwezi kuweka Waziri mwanamke kwenye wizara ya uvuvi wakati 99% ya wavuvi ni wanaume.
Kumteua mwanamke kuwa waziri si hoja, na haijaanza hapa Tanzania. Nchi nyingi duniani zimewahi kuwa na mawaziri wa ulinzi wanawake. Hata hapo jirani Kenya wanae mwana mama. Hoja ni ana vigezo? Anaijua hiyo wizara? Analijua jeshi? Kuhoji uwepo wake inaweza changiwa na walio wahi ongoza wizara hiyo kisa tu ni watoto wa fulani. Waziri wa muda mrefu katika wizara hiyo, imekuja bainika hata jkt alikwepa akaenda kusomea udaktari ulaya.Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na uingereza na duniani kote walikoendelea.
Kwanini usawa huu wa jinsia usianzie kwanza kwenye kupata elimu, kilimo, uvuvi, uchimbaji, usafirishaji, uhandisi, sheria ya ndoa, na maisha ya kawaida?
Huwezi kuwezi kuweka Waziri mwanamke kwenye wizara ya uvuvi wakati 99% ya wavuvi ni wanaume.
Hivi kwanini watu mnapenda kuonesha kuwa ubaguzi ni kitu kibaya ile kabisa, wakati maisha yetu kama binaadamu hayawezi kwenda bila kubaguana.Swali lako ni kama lina chembechembe za ubaguzi
Unachotaka ni kuhalalisha ubaguzi wa kiitikadi ulioshamiri hapa kwetu ukiratibiwa na walinda amani wetu na chama mwajiri wao, vinginevyo uje na hoja, ya kuonyesha hiyo sio dhamira yako. Je nikikuita mbaguzi nitakuwa nimekosea?Hivi kwanini watu mnapenda kuonesha kuwa ubaguzi ni kitu kibaya ile kabisa, wakati maisha yetu kama binaadamu hayawezi kwenda bila kubaguana.
Nani kakwambia wanaume ni wengi nchini?Una fikra za ajabu sana....
Yaani kwa kuwa WANAUME wengi ndio viongozi basi tusiwe na "RAIS MWANAMKE" Khaaaa 😲😲😲
Ukimsomesha mtoto wa kike na akijitambua basi huwa ni neema kubwa kwa jamii......
SIEMPREJMT
Hebu uwe unasoma "between lines".....Nani kakwambia wanaume ni wengi nchini?
Mbona hamna ulinganifu kwenye mifano hiyo miwili?Ubaguzi gani, ni sawa wizara ya wanawake ikaongozwa na mwanaume?
Kwa ninyi siku mna tofauti gani na hao wanawake?Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na uingereza na duniani kote walikoendelea.
Kwanini usawa huu wa jinsia usianzie kwanza kwenye kupata elimu, kilimo, uvuvi, uchimbaji, usafirishaji, uhandisi, sheria ya ndoa, na maisha ya kawaida?
Huwezi kuwezi kuweka Waziri mwanamke kwenye wizara ya uvuvi wakati 99% ya wavuvi ni wanaume.
Mimi sikatai kuwa mbaguzi kwahiyo wewe ukiniita mimi mbaguzi wala sioni shida kwangu, nachojua mimi ubaguzi ni sehemu katika maisha yetu ni kitu ambacho hatuwezi kukiepuka. Tatizo ni kwamba ule ubaguzi tulio uhararisha tunasahau kwamba nao ni ubaguzi pia.Unachotaka ni kuhalalisha ubaguzi wa kiitikadi ulioshamiri hapa kwetu ukiratibiwa na walinda amani wetu na chama mwajiri wao, vinginevyo uje na hoja, ya kuonyesha hiyo sio dhamira yako. Je nikikuita mbaguzi nitakuwa nimekosea?