Kuthibitisha kosa la wizi mahakamani

Kuthibitisha kosa la wizi mahakamani

Myhope

Senior Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
154
Reaction score
67
Naomba msaada jamani, ni kwa jinsi gani mwajiri anaweza kuthibitisha/kuprove kosa alilonifukuza nalo la wizi wa mafuta kwenye mahakama?
 
Mwambie akuonyeshe picha. Kama tufanyavyo hapa Jukwaani.
 
Documents tu mahakama haideal na picha. Hiyo si kazi official kila kitu kipo documented, kwahyo document ndo zitakufunga au kukuacha huru wala sio maneno
 
Naomba msaada jamani, ni kwa jinsi gani mwajiri anaweza kuthibitisha/kuprove kosa alilonifukuza nalo la wizi wa mafuta kwenye mahakama?
Unafanya kazi Sheli au uliajiriwa kwenye Kampuni za Usafirishaji tuanzie hapo kwanza.
 
Naomba msaada jamani, ni kwa jinsi gani mwajiri anaweza kuthibitisha/kuprove kosa alilonifukuza nalo la wizi wa mafuta kwenye mahakama?
We ulikuwa unaiba kweli???kama ulikuwa unaiba ongea ukweli tukufundishe namna ya kukwepa huo msala...kama ulikuwa huibi usiwe na wasiwasi hawezi kuu prove..ata prove vipi kitu kisichokwepo
 
Tatizo ulitaka kula peke yako,dili za wizi kama hizo mnakula wengi.
 
Documents tu mahakama haideal na picha. Hiyo si kazi official kila kitu kipo documented, kwahyo document ndo zitakufunga au kukuacha huru wala sio maneno
Polisi waliona sina hatia Ila mwajiri yeye akadai nina kosa la wizi akaamua kunifukuza kazi.
 
Namna ulivyokua unaiba ndiyo atakavyopeleka uthibitisho.ka!a ulikua huibi relax tu mkuu mana hawezi kuthibitisha kitu ambacho hakipo.
 
Namna ulivyokua unaiba ndiyo atakavyopeleka uthibitisho.ka!a ulikua huibi relax tu mkuu mana hawezi kuthibitisha kitu ambacho hakipo.
Sijaiba mafuta bna ndo maana nikatoa maelezo hayo wadau
 
kama umekutikana na upungufu wa lita za mafuta na ukasimamishwa
bora ukubali yaishe
haya Makampuni ya watu binafsi si serikali imekuajiri na kukuwekea mafao hapo ndipo unaweza ishinda lakini sio Mkinga au Mchagga watakumaliza
ulichochuma kimbia nacho hao si waarabu wau wahindi watakumaliza
 
Back
Top Bottom