Kutoa kafara ya damu ya wanyama na wanadamu ni upumbavu, Yesu Inatosha

Kutoa kafara ya damu ya wanyama na wanadamu ni upumbavu, Yesu Inatosha

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam, Shalom!

Tumia Damu ya Yesu illiyomwagika msalabani kufungua Kila kifungo Maishani, kijamii, kisiasa, kiuchumi ,kiimani nk nk.

Damu ya Yesu ni funguo,/ Key, funguo hii ni Katika kweli na haki na MAISHA ya utakatifu, kujjitenga na DHAMBI,UOVU na machukizo.

Nikwambie kitu, shetani hana utajiri wowote, ni mwizi, kibaka, utajiri na Mali za Dunia hii aliziiba kwa Adam na Hawa walipoacha kumtii Mungu.

Yesu, Mungu akaamua kuvaa mwili wa Mwanadamu na kuzaliwa, kutoa mwili wake kama sadaka, kumwaga damu yake Ili ifanyike funguo ya kumrudishia Mwanadamu utawala, utajiri aliopokkwa na Ibilisi na shetani.

Damu ya Yesu ni funguo kuu, hakipo kifungo au kafara yenye UWEZO kuffikia damu ya Yesu.

Yaani Karne ya ishirini na moja unammkuta Waziri nzima kakalishwa kwenye kigoda na kichaa mmoja ajiitaye mganga, kavuliwa nguo anapigwa chale sehemu mbalimbali za mwili wake Ili kutoa sadaka ya damu yake Ili apate uongozi, huu ni upumbavu Mkuu.

Damu ya Yesu ni damu yenye thamani na UWEZO Mkuu kuliko zote, ikitumika damu hiyo, nchi itabarikiwa, hapatakuwa na ajali za kutengeneza kumaliza watu.

Ikiwa unapenda kujjitenga na ujinga wa kuamini hawa vichaa wannaovaa ngozi za wanyama na kulia kama ndege, fuatisha sala hii!


Ee Mungu katika jina la Yesu Kristo, nina kukiri wewe kuwa bwana na mwokozi wa maisha yangu, ninatubu dhambi zangu zote, ninaomba unisamehe, ulifute jina langu katika kitabu cha hukumu, uliandike jina langu katika kitabu cha uzima, nipe uwezo wa kuishi maisha matakatifu, dhambi isinishinde, uovu usinishinde, ulevi usinishinde, uzinzi usinishinde, ninaomba hayo kupitia jina la yesu kristo aliye bwana na mwokozi wa maisha yangu. Amen
 
Salaam, Shalom!

Tumia Damu ya Yesu illiyomwagika msalabani kufungua Kila kifungo Maishani, kijamii, kisiasa, kiuchumi ,kiimani nk nk.

Damu ya Yesu ni funguo,/ Key, funguo hii ni Katika kweli na haki.


Nikwambie kitu, shetani hana utajiri wowote, ni mwizi, kibaka, utajiri na Mali za Dunia hii aliziiba kwa Adam na Hawa walipoacha kumtii Mungu.


Yesu, Mungu akaamua kuvaa mwili wa Mwanadamu na kuzaliwa, kutoa mwili wake kama sadaka, kumwaga damu yake Ili ifanyike funguo ya kumrudishia Mwanadamu utawala, utajiri aliopokkwa na Ibilisi na shetani.

Damu ya Yesu ni funguo kuu, hakipo kifungo au kafara yenye UWEZO kuffikia damu ya Yesu.

Yaani Karne ya ishirini na moja unammkuta Waziri nzima kakalishwa kwenye kigoda na kichaa mmoja ajiitaye mganga, kavuliwa nguo anapigwa chale sehemu mbalimbali za mwili wake Ili kutoa sadaka ya damu yake Ili apate uongozi, huu ni upumbavu Mkuu.

Damu ya Yesu ni damu yenye thamani na UWEZO Mkuu kuliko zote, ikitumika damu hiyo, nchi itabarikiwa, hapatakuwa na ajali za kutengeneza kumaliza watu.

Ikiwa unapenda kujjitenga na ujinga wa kuamini hawa vichaa wannaovaa ngozi za wanyama na kulia kama ndege, fuatisha sala hii!


EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, UZINZI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
Damu ya Yesu inaweza kumfanya mtu ashinde kamari?
 
Hujawahi kuwa huku udai ulishatokka,


SI rahisi kumpata Roho mtakatifu Kisha umkinai na kurudi matopeni kama nguruwe!
Hakuna cha roho wala nini hizo ni illusion tu .
 
Upo sawa ila usimalize maneno, siku yakikukuta unaweza jikuta unamwaga damu ya kondoo au mbuzi ili utulize mambo yako.
Hizo ni zama za Giza,

Ujanja ni damu ya Yesu.

Ukiitumia, hauwezi kumfannya mtu zezeta Ili WEWE upate Mali fake.

Damu ya Yesu inaacha faida tu, no hasara kwa wengine!
 
Mm kama Damu ya mbuzi inaleta matokeo...Yaani chapu kwa haraka kibra mbuzi anaelekezwa.
 
Mbona kwenye vitabu vingi vya biblia agano la kale nimesoma manabii wengi walikuwa wanamtolea Mungu zawadi/makafara ya damu za wanyama.
Mfano Abraham aliambiwa amtoe kafara mtoto wake ila akiwa kwenye process hiyo akaletewa mwanakondoo ndio akamchinja badala ya mtoto?
 
Back
Top Bottom