Kutoa kafara ya damu ya wanyama na wanadamu ni upumbavu, Yesu Inatosha

Kutoa kafara ya damu ya wanyama na wanadamu ni upumbavu, Yesu Inatosha

Hivi mfano wa mwanadamu unaweza kutoka damu, maana ni mfano vipi useme damu yake imekukomboa kwa maana kama hajaweza kubakisha mabaki inamaana asingeweza kutoka damu
Sifa kuu ya Mungu mojawapo ni mweza wa yote asiye na limit.

Yeye aweza yote.

Alfa na Omega, mwanzo na mwisho.

YESU KRISTO/ Yeshua Hamashiach
 
Sifa kuu ya Mungu mojawapo ni mweza wa yote asiye na limit.

Yeye aweza yote.

Alfa na Omega, mwanzo na mwisho.

YESU KRISTO/ Yeshua Hamashiach
Kwa nini ameshindwa kumzuia adui wake wa kwenye hzo hekaya ambaye ni shetani, kwa nini ameshindwa kujionyesha mubashara kwa watu wake, kwa nini ameruhusu asifuatwe. Je huyo ni muweza wa yote?
 
Haiwezekani,wala haitowezekana na kama kuna ushahidi leta proof na sio riwaya
Yesu Yu hai,

Alikufa na kufufuka na kupaa mbinguni,

Mimi nilimwona kwa macho YANGU live,

Kuna Uzi nilileta humu juu ya nilichoona.
 
Kwa nini ameshindwa kumzuia adui wake wa kwenye hzo hekaya ambaye ni shetani, kwa nini ameshindwa kujionyesha mubashara kwa watu wake, kwa nini ameruhusu asifuatwe. Je huyo ni muweza wa yote?
Yesu anaishi ndani YANGU.
 
Yesu Yu hai,

Alikufa na kufufuka na kupaa mbinguni,

Mimi nilimwona kwa macho YANGU live,

Kuna Uzi nilileta humu juu ya nilichoona.
😀😀😀🙄🙄🙄😱😱😱😱. Wewe umezaliwa mwaka gani? yesu alikufa mwaka gani? na ulimwona mwaka gani?

Je hizo sizo dawa za Hallucinogens or alcohol
 
😀😀😀🙄🙄🙄😱😱😱😱. Wewe umezaliwa mwaka gani? yesu alikufa mwaka gani? na ulimwona mwaka gani?

Je hizo sizo dawa za Hallucinogens or alcohol
I saw him,

Mimi ndiye ninayeshuhudia haya, SI hadithi.

Yesu ni Mungu, hana mwanzo wala mwisho. Ni wa milele.
 
Salaam, Shalom!

Tumia Damu ya Yesu illiyomwagika msalabani kufungua Kila kifungo Maishani, kijamii, kisiasa, kiuchumi ,kiimani nk nk.

Damu ya Yesu ni funguo,/ Key, funguo hii ni Katika kweli na haki na MAISHA ya utakatifu, kujjitenga na DHAMBI,UOVU na machukizo.

Nikwambie kitu, shetani hana utajiri wowote, ni mwizi, kibaka, utajiri na Mali za Dunia hii aliziiba kwa Adam na Hawa walipoacha kumtii Mungu.

Yesu, Mungu akaamua kuvaa mwili wa Mwanadamu na kuzaliwa, kutoa mwili wake kama sadaka, kumwaga damu yake Ili ifanyike funguo ya kumrudishia Mwanadamu utawala, utajiri aliopokkwa na Ibilisi na shetani.

Damu ya Yesu ni funguo kuu, hakipo kifungo au kafara yenye UWEZO kuffikia damu ya Yesu.

Yaani Karne ya ishirini na moja unammkuta Waziri nzima kakalishwa kwenye kigoda na kichaa mmoja ajiitaye mganga, kavuliwa nguo anapigwa chale sehemu mbalimbali za mwili wake Ili kutoa sadaka ya damu yake Ili apate uongozi, huu ni upumbavu Mkuu.

Damu ya Yesu ni damu yenye thamani na UWEZO Mkuu kuliko zote, ikitumika damu hiyo, nchi itabarikiwa, hapatakuwa na ajali za kutengeneza kumaliza watu.

Ikiwa unapenda kujjitenga na ujinga wa kuamini hawa vichaa wannaovaa ngozi za wanyama na kulia kama ndege, fuatisha sala hii!


Ee Mungu katika jina la Yesu Kristo, nina kukiri wewe kuwa bwana na mwokozi wa maisha yangu, ninatubu dhambi zangu zote, ninaomba unisamehe, ulifute jina langu katika kitabu cha hukumu, uliandike jina langu katika kitabu cha uzima, nipe uwezo wa kuishi maisha matakatifu, dhambi isinishinde, uovu usinishinde, ulevi usinishinde, uzinzi usinishinde, ninaomba hayo kupitia jina la yesu kristo aliye bwana na mwokozi wa maisha yangu. Amen
Sasa nyie mmeambiwa muachane na ya dunia mpende ya mbingu,afu unakuja hapa kuongelea vitu vizito kama hiv..christians know nothing about the universe.so ni bora ukae kimya.
 
Nikwambie kitu, shetani hana utajiri wowote, ni mwizi, kibaka, utajiri na Mali za Dunia hii aliziiba kwa Adam na Hawa walipoacha kumtii Mungu.
Shetani ameshawai kukutusi au ameshawai kumtukana Yesu wenu?, kimsingi kupitia maneno yako umenifanya nizidishe mapenz kwa shetani.afu hata huyo Mungu wako wa Biblia anampenda sana Shetani ndio wanafanya naye michongo hata ya kumjaribu Ayubu.
 
Yesu, Mungu akaamua kuvaa mwili wa Mwanadamu na kuzaliwa, kutoa mwili wake kama sadaka, kumwaga damu yake Ili ifanyike funguo ya kumrudishia Mwanadamu utawala, utajiri aliopokkwa na Ibilisi na shetani.
😂😂Kwa hiyo MUNGU wako akavaa mwili akawa fundi Seremala,akatundikwa msalabani na kichupi Cha utajiju wahuni wakamdavila 😂
 
Un
Ni agano la kale Hilo,

Damu ya kondoo haikutosha kuondoa hatia ya DHAMBI.

Sasa ni agano jipya, agano modified,

Hatutoi kondoo Tena,

Tunatumia Damu ya Yesu.


Damu ya Yesu Inatosha,

Amefufuka, hayumo kaburini.
Unaongea kama kuku mwenye mdondo.
 
Kwa nini ameshindwa kumzuia adui wake wa kwenye hzo hekaya ambaye ni shetani, kwa nini ameshindwa kujionyesha mubashara kwa watu wake, kwa nini ameruhusu asifuatwe. Je huyo ni muweza wa yote?
Hakuna mtu muoga duniani kama Yesu,Yesu ni muoga .
 
Back
Top Bottom