Kutoa kafara ya damu ya wanyama na wanadamu ni upumbavu, Yesu Inatosha

Kutoa kafara ya damu ya wanyama na wanadamu ni upumbavu, Yesu Inatosha

Mm kama Damu ya mbuzi inaleta matokeo...Yaani chapu kwa haraka kibra mbuzi anaelekezwa.
Shetani ni baba wa uongo,

Akikwambia lete mbuzi dume, akichinjwa mbuzi, jua umemchinja baba yako au mtoto wako wa kwanza.

Sasa hapo Pana utajiri gani?

Shetani ni maskini mkubwa, Mali tunnazo sie.

Tumia Damu ya Yesu,

Hii ndio habari njema,

Habari ya mujini.
 
Bro huu ulimwengu ni mpana Sana . Give me proof kama iyo damu we imekusadia.??
 
Mbona kwenye vitabu vingi vya biblia agano la kale nimesoma managing wengi walikuwa wanamtolea Mungu zawadi/makafara ya damu za wanyama.
Mfano Abraham aliambiwa amtoe kafara mtoto wake ila akiwa kwenye process hiyo akaletewa mwanakondoo ndio akamchinja badala ya mtoto?
Ni agano la kale Hilo,

Damu ya kondoo haikutosha kuondoa hatia ya DHAMBI.

Sasa ni agano jipya, agano modified,

Hatutoi kondoo Tena,

Tunatumia Damu ya Yesu.

Damu ya Yesu Inatosha,

Amefufuka, hayumo kaburini.
 
Salaam, Shalom!

Tumia Damu ya Yesu illiyomwagika msalabani kufungua Kila kifungo Maishani, kijamii, kisiasa, kiuchumi ,kiimani nk nk.

Damu ya Yesu ni funguo,/ Key, funguo hii ni Katika kweli na haki na MAISHA ya utakatifu, kujjitenga na DHAMBI,UOVU na machukizo.

Nikwambie kitu, shetani hana utajiri wowote, ni mwizi, kibaka, utajiri na Mali za Dunia hii aliziiba kwa Adam na Hawa walipoacha kumtii Mungu.

Yesu, Mungu akaamua kuvaa mwili wa Mwanadamu na kuzaliwa, kutoa mwili wake kama sadaka, kumwaga damu yake Ili ifanyike funguo ya kumrudishia Mwanadamu utawala, utajiri aliopokkwa na Ibilisi na shetani.

Damu ya Yesu ni funguo kuu, hakipo kifungo au kafara yenye UWEZO kuffikia damu ya Yesu.

Yaani Karne ya ishirini na moja unammkuta Waziri nzima kakalishwa kwenye kigoda na kichaa mmoja ajiitaye mganga, kavuliwa nguo anapigwa chale sehemu mbalimbali za mwili wake Ili kutoa sadaka ya damu yake Ili apate uongozi, huu ni upumbavu Mkuu.

Damu ya Yesu ni damu yenye thamani na UWEZO Mkuu kuliko zote, ikitumika damu hiyo, nchi itabarikiwa, hapatakuwa na ajali za kutengeneza kumaliza watu.

Ikiwa unapenda kujjitenga na ujinga wa kuamini hawa vichaa wannaovaa ngozi za wanyama na kulia kama ndege, fuatisha sala hii!

Ee Mungu katika jina la Yesu Kristo, nina kukiri wewe kuwa bwana na mwokozi wa maisha yangu, ninatubu dhambi zangu zote, ninaomba unisamehe, ulifute jina langu katika kitabu cha hukumu, uliandike jina langu katika kitabu cha uzima, nipe uwezo wa kuishi maisha matakatifu, dhambi isinishinde, uovu usinishinde, ulevi usinishinde, uzinzi usinishinde, ninaomba hayo kupitia jina la yesu kristo aliye bwana na mwokozi wa maisha yangu. Amen
Hiyo damu ya Yesu ni Group gani ?! 😂
 
Ni agano la kale Hilo,

Damu ya kondoo haikutosha kuondoa hatia ya DHAMBI.

Sasa ni agano jipya, agano modified,

Hatutoi kondoo Tena,

Tunatumia Damu ya Yesu.

Damu ya Yesu Inatosha,

Amefufuka, hayumo kaburini.
Yaani ww personally toa ushuhuda hapa nasisi kina Thomaso tukuamini.
 
Bro huu ulimwengu ni mpana Sana . Give me proof kama iyo damu we imekusadia.??
Naishi nilichoandika,

Sina chale yoyote mwilini mwangu,

Ninatumia damu ya Yesu pekee,

Na sijawahi kupungukiwa,

Pesa hunifuata,

Nimebariikiwa,

Natumia nguvu kidogo ila napata matokeo makubwa.

Tumia Damu ya Yesu pekee,inatosha.

Msiue albino wala ndugu zenu kupata utajiri fake.
 
Yaani ww personally toa ushuhuda hapa nasisi kina Thomaso tukuamini.
MAISHA YANGU yote ni ushuhuda.

Sasa rejea thread ZANGU utashuhudia mengi nimewahi andika humo.

Naongea ninachokiishi.
 
Naishi nilichoandika,

Sina chale yoyote mwilini mwangu,

Ninatumia damu ya Yesu pekee,

Na sijawahi kupungukiwa,

Pesa hunifuata,

Nimebariikiwa,

Natumia nguvu kidogo ila napata matokeo makubwa.

Tumia Damu ya Yesu pekee,inatosha.

Msiue albino wala ndugu zenu kupata utajiri fake.
Ikiwa inasemekana kuwa Yesu alitumia mwili wa mwanadamu, je damu Yake inaweza kukuponesha, je damu Ya mwili wa binadamu huchukua muda gani kukauka baada Ya kufa, je hizo sio hekaYa za NYoka watemao moto?
 
Binafsi mm nko nko siamini dini yoyote.Ila Mungu yupo
Upo Katika uelekeo sahihi.

Yesu hakuleta dini duniani, alikuja kuteta Imani,

Alikuja kuileta injili ambayo ni uweza wa Mungu uletao wokovu.

Injili ni

Kumthamini maskini na kummsaidia,

Injili ni kuacha UOVU, ni kuchukia dhulma.

Injili ni kuwapenda watu bila upendeleo.

Injili ni kuwa na uuhusiano na Mungu na kuisikia sauti ya Roho mtakatifu ndani yako.

Mungu yupo, na Mungu huyo analo jina, na Mungu ni mmoja, jina lake tullilopewa wanadamu liwezalo kuokoa ni YESU KRISTO/Yeshua Hamashiach.

Ubarikiwe 🙏
 
Lakini ulivyoandika hapa vinaweza kufanywa na mtu yeyote na kisha akachagua title yeyote.
 
Kivip ni upumbavu?!ikiwa wapo watu mashughuli waliotumika na muumba wetu walifanya sadaka za kuteketezwa Kwa minaji yakumtolea Mungu wetu.mfano ibrahimu au mtoto wa adamu
 
Ikiwa inasemekana kuwa Yesu alitumia mwili wa mwanadamu, je damu Yake inaweza kukuponesha, je damu Ya mwili wa binadamu huchukua muda gani kukauka baada Ya kufa, je hizo sio hekaYa za NYoka watemao moto?
Philiians 2:7

Akawa ana mfano wa mwanadamu.

..... mwisho wa kunukuu....

Mfano wa mwanadamu ndipo penye point.

Ndio maana Leo hii hata mabaki ya mwili wake hutoyaona maana ni Mungu yule.
 
Philiians 2:7

Akawa ana mfano wa mwanadamu.

..... mwisho wa kunukuu....

Mfano wa mwanadamu ndipo penye point.

Ndio maana Leo hii hata mabaki ya mwili wake hutoyaona maana ni Mungu yule.
Hivi mfano wa mwanadamu unaweza kutoka damu, maana ni mfano vipi useme damu yake imekukomboa kwa maana kama hajaweza kubakisha mabaki inamaana asingeweza kutoka damu
 
Kivip ni upumbavu?!ikiwa wapo watu mashughuli waliotumika na muumba wetu walifanya sadaka za kuteketezwa Kwa minaji yakumtolea Mungu wetu.mfano ibrahimu au mtoto wa adamu
Upumbavu ni kwenda kwa masangoma hawa vichaa wenye KUISHI maporini, wamevaa ngozi na kaniki, wachafu, wenye kulia kama ndege na kuwapelekea sadaka ya damu.
 
Back
Top Bottom