joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kwani brother Partinership ina maana 50/50?Brand name yake si anapata share tu kwa Nike sio kwamba wanapasuana 50/50 yaan Jordan 50 na Nike 50 hell NO
Yes ni hivyo Ila haina maana anaimiliki Nike sababu ya Jina lake? Ni mkataba tu na makubariano akijitoa watamweka RJKwani brother Partinership ina maana 50/50?
Hata ukiwa na 5% wewe ni mshirika kwenye hiyo biashara na Jordan ana uwezo hata kwa kukataa brand yake ya Jordan wasiitumie Nike endapo wakikiuka mkataba.
Mimi kwani nimesema anamiliki Nike?Yes ni hivyo Ila haina maana anaimiliki Nike sababu ya Jina lake? Ni mkataba tu na makubariano akijitoa watamweka RJ
Juzi kazindua mgahawa plus yy na Nenga wanaduka la kuuza simu.Hivi Nandy naye hajawekeza sehemu nyingine tofauti na muziki?
[emoji23]Alikiba anamiliki kampuni moja maarufu ya mabasi ya mikoani ni vile jamaa hapendagi show off tu ila jamaa ni don mbaya mbovu.
Ana Nandy bridalHivi Nandy naye hajawekeza sehemu nyingine tofauti na muziki?
Nandy anayo kabla ya Nenga.duka la Nenga lile kabla hata hajamuoa Nandy.
Nandy nae apambane awe na biashara aliyoipambania.