Kutoboa kwa sanaa pekee ni ngumu! Hawa ni baadhi ya wasanii walioamua kujiongeza kutafuta kipato cha ziada kwa kufanya biashara

Kutoboa kwa sanaa pekee ni ngumu! Hawa ni baadhi ya wasanii walioamua kujiongeza kutafuta kipato cha ziada kwa kufanya biashara

Brand name yake si anapata share tu kwa Nike sio kwamba wanapasuana 50/50 yaan Jordan 50 na Nike 50 hell NO
Kwani brother Partinership ina maana 50/50?

Hata ukiwa na 5% wewe ni mshirika kwenye hiyo biashara na Jordan ana uwezo hata kwa kukataa brand yake ya Jordan wasiitumie Nike endapo wakikiuka mkataba.
 
Kwani brother Partinership ina maana 50/50?

Hata ukiwa na 5% wewe ni mshirika kwenye hiyo biashara na Jordan ana uwezo hata kwa kukataa brand yake ya Jordan wasiitumie Nike endapo wakikiuka mkataba.
Yes ni hivyo Ila haina maana anaimiliki Nike sababu ya Jina lake? Ni mkataba tu na makubariano akijitoa watamweka RJ
 
Yes ni hivyo Ila haina maana anaimiliki Nike sababu ya Jina lake? Ni mkataba tu na makubariano akijitoa watamweka RJ
Mimi kwani nimesema anamiliki Nike?

Mimi nimesema mmiliki wa brand name ya Jordan ni Michael Jordan.Ila Nike wameingia nae mkataba wa kutengeneza viatu kupitia brand name yake, ktk kila faida wanayo ingia Jordan ana share yake.

Hivi unazani Nike ana brand moja, LeBron James Nike wanatumia brand yake kuuza viatu.

Elewa hiki mmoja ana brand,mwengine ana resources za kutengeneza bidhaa kupitia hiyo brand na hapo ndipo partnership inapozaliwa.
 
Hivi Nandy naye hajawekeza sehemu nyingine tofauti na muziki?
 
Back
Top Bottom