Kutofanikiwa kwa maandamano ya Mo 29 , D9 na hatima ya Tanganyika

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Naona giza mbeleni na hali inatisha Sana Sana!

Dini inatumika kuisambaratisha Tanganyika😭😭😭

Hili igizo la RC lilikuwa ni kwa ajili ya kuwatoa Watanganyika kwenye reli ili kikao cha Zenji kiende bila kelele.

Kumbukeni wakurugenzi wote nchini wameitwa wako huko

Mkandarasi wa igizo hili ndio yuleyule wa project CHAUMA, Na baadhi ya washiriki ni walewale.. Lakini je huyu mkandarasi anaelewa madhara ya alichokifanya kwenye igizo la jana?

Kuna kila dalili wanataka kuiingiza Tanganyika kwenye machafuko hasa ya kidini ili wabakie madarakani kwakuwa ni wazi kukiwa na huu utulivu na huu ukimya wana hofu mwangi wa kutotambulika utazidi kuwa mkubwa.

Leo wametumika wakatoliki wa mchongo, bahati nzuri wenye imani yao ni watu waelewa Sana ndio maana hakuna madhara yoyote yaliyotokea

Kesho na keshokutwa itatumika imani nyingine kufitinishwa na wengine! Wakiingia kwenye huo mkenge TUMEKWISHA!

Pamoja na kutuweka busy na haya maigizo yao lakini pia wanatest mitambo kuona lipi litaleta matokeo tarajiwa watembee nalo

Nimeumia Sana kuona watu wazima na akili zao wanatumika kwa ajili ya maslahi binafsi ya kikundi kidogo
Watanganyika sisi ni wamoja tusikubali kufitinishwa na kugombanishwa!

View: https://www.facebook.com/share/v/1DYaJcJ1xy/
 
1767653574934.jpg
 
Hatimaye Wakatoliki wa kuchaji a.k.a Wakatoliki wa vijora wamewasilisha “Petrol Station” nzito kwa Baba Mtakatifu.

Halafu huyu Mwambieni Mchange na Abdul huyu wa sasa sio Baba Mtakatifu wa 16, huyu ni Pope Leo XIV.

Sasa wakatoliki gani nyie hamjui hata jina la Pope yani mnampelekea ujumbe mtu ambae hamjui hata jina lake?

Nyambafuuuuu!…😂😂😂😂
 
Naona giza mbeleni na hali inatisha Sana Sana!
Dini inatumika kuisambaratisha Tanganyika😭😭😭
Hili igizo la RC lilikuwa ni kwa ajili ya kuwatoa Watanganyika kwenye reli ili kikao cha Zenji kiende bila kelele. Kumbukeni wakurugenzi wote nchini wameitwa wako huko

Mkandarasi wa igizo hili ndio yuleyule wa project CHAUMA, Na baadhi ya washiriki ni walewale.. Lakini je huyu mkandarasi anaelewa madhara ya alichokifanya kwenye igizo la jana?
Kuna kila dalili wanataka kuiingiza Tanganyika kwenye machafuko hasa ya kidini ili wabakie madarakani kwakuwa ni wazi kukiwa na huu utulivu na huu ukimya wana hofu mwangi wa kutotambulika utazidi kuwa mkubwa

cry more
1767657088347.png
 
Muhimu wanachopaswa kujuwa huyu Papa Leo ni Mmarekani.
 
Ulilo lisema kweli kabisa sijui tunakwenda wapi, na madhara yake ni makubwa sana, kuna mahala tunapo taka kupagusa patakuwa pagumu sana kupafunika pakisha funuka. Kwenye bibila kuna mahala panasema Ukiua ndugu yako Damu yake itakulilia milele.
 
suluhisho la kudumu kwa tanzagiza ni kuigawa nchi muslim side vs the rest side, i.e muslim wawe na nchi yao peke yao bila ya hivyo kila siku mtakuwa na shida na hawa parasites, wenyewe kwa wenyewe hawawezi kuiva na kuishi pamoja watakuwa kama yemeni, komoro au somalia vita kugombania madaraka, ulafi, wizi, nepotism, corruption. hivyo hata kama inaonekana ni too radical lkn ndiyo suluhisho pekee na la kudumu, tufanye uamuzi mgumu once and for all kama india vs pakistan, leo hii india inasonga mbele wakati pakistani bado backward terrorist country.

muslims wa tanzagiza ni communists hawajui wala hawaheshimu demokrasia, wakiwa na power hawakubali kuwaachia wengine ingawaje wao waliweza kuachiwa, bila ya nguvu kutumika sanity haiwezi kurudi tena tanzagiza ...
 
Back
Top Bottom