Kutofanikiwa kwa maandamano ya Mo 29 , D9 na hatima ya Tanganyika

Punguza kubweka basi
Mkuu Mshana Jr , maandamano ya 29/10 yalifanikiwa kwa asilimia 100. Kmbuka lengo lilikuwa ni NO REFORMS, NO ELECTION. Hili liliwezekana kwa asilimia zote na mataifa yote duniani yanajua kuwa Samia hakushinda bali alijitangaza. Kuhusu hatima ya Tanzania, ngoja nikuhakikishie kuwa tunakwenda kwenye mabadiliko na siku za CCM zinahesabika. Ukichunguza sana, kwa vituko vinavyoendelea sasa hivi, utagundua kuwa Samia ya kundi lake wamechanganyikiwa na wanazidi kulikoroga kuelekea kifo cha CCM. JAMBO MUHIMU: kutakuwa na kila aina ya mateso na maumivu kwa wananchi kwa kuwa hawa wahuni wanajaribu kutumia kila mbinu kujitetea, ila watakachoweza ni ku-delay na siyo mabadiliko.
 
Wakatoliki na madera wapi na wapi bhana!! Maigizo mengine yanachekesha sana.
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza 🚮
Mmeshakufa CCM ila hamjui tu!
Ruth Anthony Mikaeli aibu yako wewe! Na tumeshakujua sijui utaishi jamii gani labda uishi CCM - mwone kwanza! Askofu Ruwacha ndo nani kwanza?

Ukiwa mwongo si tu uwe na kumbukumbu nzuri bali pia hakikisha hujaacha record mahali. Nyie ni waongo na wapumbavu hadi mnatia hasira
#TutaelewanaTu
 
Huu ujinga unaofanywa na hawa watu kutengeneza maigizo hautawafikisha popote,sana sana wanajitia aibu tu

Mimi nitasimamia kwenye ukweli siku zote,si sawa kuleta ***** ***** za kidini kwani hazitatufikisha popote pale,kama mtu ana shida na wakatoliki awaface na awaambie shida iko wapi,lakini sio kutafuta watu wa mchongo na kuwafanyisha maandamano.

Kuna maisha baada ya siasa,kuna maisha baada ya uongozi na kuna maisha baaada ya haya ya duniani,kwahiyo mwenye hekima huwa anaangalia mbali
 
Mkuu Mshana Jr , maandamano ya 29/10 yalifanikiwa kwa asilimia 100. Kmbuka lengo lilikuwa ni NO REFORMS, NO ELECTION. Hili liliwezekana kwa asilimia zote na mataifa yote duniani yanajua kuwa Samia hakushinda bali alijitangaza. Kuhusu hatima ya Tanzania, ngoja nikuhakikishie kuwa tunakwenda kwenye mabadiliko na siku za CCM zinahesabika. Ukichunguza sana, kwa vituko vinavyoendelea sasa hivi, utagundua kuwa Samia ya kundi lake wamechanganyikiwa na wanazidi kulikoroga kuelekea kifo cha CCM. JAMBO MUHIMU: kutakuwa na kila aina ya mateso na maumivu kwa wananchi kwa kuwa hawa wahuni wanajaribu kutumia kila mbinu kujitetea, ila watakachoweza ni ku-delay na siyo mabadiliko.
JAMBO MUHIMU: kutakuwa na kila aina ya mateso na maumivu kwa wananchi kwa kuwa hawa wahuni wanajaribu kutumia kila mbinu kujitetea, ila watakachoweza ni ku-delay na siyo mabadiliko.
 
Huu ujinga unaofanywa na hawa watu kutengeneza maigizo hautawafikisha popote,sana sana wanajitia aibu tu

Mimi nitasimamia kwenye ukweli siku zote,si sawa kuleta ***** ***** za kidini kwani hazitatufikisha popote pale,kama mtu ana shida na wakatoliki awaface na awaambie shida iko wapi,lakini sio kutafuta watu wa mchongo na kuwafanyisha maandamano.

Kuna maisha baada ya siasa,kuna maisha baada ya uongozi na kuna maisha baaada ya haya ya duniani,kwahiyo mwenye hekima huwa anaangalia mbali
Angalau leo umekuwa na mawazo ya kiume,kudos
 
Saa mbovu nayo kuna muda inasema ukweli
 
Eti baba mtakatifu wa 16 yani hata Pope hawamjui wa sasa hivi?

Hao ilitakiwa waambiwe wasali kanuni ya imani. Maana hakuna mkatoliki asiyejua hiyo sala na hupati komunio kama huijui.
 
Walichokitaka ni kutaka kutuweka busy na wamefanikiwa kwenye hili
 
Saa mbovu nayo kuna muda inasema ukweli
iko hivi ukweli ambao wewe hau hupendi utauchukia ila ukweli unao upenda utafurahia

Sasa uwe tayar siku kusoma ukweli ambao hauta upenda,itabidi univumilie tu
 
Akili zako siko matakoni na pengine hata hizo za matakoni hauna 😂😂,mmeamua kujifariji na vituzo vya mchongo,huyu mama anasikitisha sana inaonesha ni namna gani alivyo na elimu ya kuunga unga na ndio matokeo yake haya
bado hujasema
 
Huu ujinga unaofanywa na hawa watu kutengeneza maigizo hautawafikisha popote,sana sana wanajitia aibu tu

Mimi nitasimamia kwenye ukweli siku zote,si sawa kuleta ***** ***** za kidini kwani hazitatufikisha popote pale,kama mtu ana shida na wakatoliki awaface na awaambie shida iko wapi,lakini sio kutafuta watu wa mchongo na kuwafanyisha maandamano.

Kuna maisha baada ya siasa,kuna maisha baada ya uongozi na kuna maisha baaada ya haya ya duniani,kwahiyo mwenye hekima huwa anaangalia mbali

View: https://www.facebook.com/share/v/1G3msfvdf7/
 
Back
Top Bottom