cry moreNaona giza mbeleni na hali inatisha Sana Sana!
Dini inatumika kuisambaratisha Tanganyika😭😭😭
Hili igizo la RC lilikuwa ni kwa ajili ya kuwatoa Watanganyika kwenye reli ili kikao cha Zenji kiende bila kelele. Kumbukeni wakurugenzi wote nchini wameitwa wako huko
Mkandarasi wa igizo hili ndio yuleyule wa project CHAUMA, Na baadhi ya washiriki ni walewale.. Lakini je huyu mkandarasi anaelewa madhara ya alichokifanya kwenye igizo la jana?
Kuna kila dalili wanataka kuiingiza Tanganyika kwenye machafuko hasa ya kidini ili wabakie madarakani kwakuwa ni wazi kukiwa na huu utulivu na huu ukimya wana hofu mwangi wa kutotambulika utazidi kuwa mkubwa
Leo wametumika wakatoliki wa mchongo, bahati nzuri wenye imani yao ni watu waelewa Sana ndio maana hakuna madhara yoyote yaliyotokea
Kesho na keshokutwa itatumika imani nyingine kufitinishwa na wengine! Wakiingia kwenye huo mkenge TUMEKWISHA!
Pamoja na kutuweka busy na haya maigizo yao lakini pia wanatest mitambo kuona lipi litaleta matokeo tarajiwa watembee nalo
Nimeumia Sana kuona watu wazima na akili zao wanatumika kwa ajili ya maslahi binafsi ya kikundi kidogo
Watanganyika sisi ni wamoja tusikubali kufitinishwa na kugombanishwa!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1DYaJcJ1xy/
VumiliaPunguza kubweka basi
Muhimu wanachopaswa kujuwa huyu Papa Leo ni Mmarekani.Hatimaye Wakatoliki wa kuchaji a.k.a Wakatoliki wa vijora wamewasilisha “Petrol Station” nzito kwa Baba Mtakatifu.
Halafu huyu Mwambieni Mchange na Abdul huyu wa sasa sio Baba Mtakatifu wa 16, huyu ni Pope Leo XIV.
Sasa wakatoliki gani nyie hamjui hata jina la Pope yani mnampelekea ujumbe mtu ambae hamjui hata jina lake?
Nyambafuuuuu!…😂😂😂😂
47K views · 443 reactions | Hatimaye Wakatoliki wa kuchaji a.k.a Wakatoliki wa vijora wamewasilisha “Petrol Station” nzito kwa Baba Mtakatifu. Halafu huyu Mwambieni Mchange na Abdul huyu wa sasa sio Baba Mtakatifu wa 16, huyu ni Pope Leo XIV. Sasa
Hatimaye Wakatoliki wa kuchaji a.k.a Wakatoliki wa vijora wamewasilisha “Petrol Station” nzito kwa Baba Mtakatifu. Halafu huyu Mwambieni Mchange na Abdul huyu wa sasa sio Baba Mtakatifu wa 16, huyu...www.facebook.com
Ulilo lisema kweli kabisa sijui tunakwenda wapi, na madhara yake ni makubwa sana, kuna mahala tunapo taka kupagusa patakuwa pagumu sana kupafunika pakisha funuka. Kwenye bibila kuna mahala panasema Ukiua ndugu yako Damu yake itakulilia milele.Naona giza mbeleni na hali inatisha Sana Sana!
Dini inatumika kuisambaratisha Tanganyika😭😭😭
Hili igizo la RC lilikuwa ni kwa ajili ya kuwatoa Watanganyika kwenye reli ili kikao cha Zenji kiende bila kelele. Kumbukeni wakurugenzi wote nchini wameitwa wako huko
Mkandarasi wa igizo hili ndio yuleyule wa project CHAUMA, Na baadhi ya washiriki ni walewale.. Lakini je huyu mkandarasi anaelewa madhara ya alichokifanya kwenye igizo la jana?
Kuna kila dalili wanataka kuiingiza Tanganyika kwenye machafuko hasa ya kidini ili wabakie madarakani kwakuwa ni wazi kukiwa na huu utulivu na huu ukimya wana hofu mwangi wa kutotambulika utazidi kuwa mkubwa
Leo wametumika wakatoliki wa mchongo, bahati nzuri wenye imani yao ni watu waelewa Sana ndio maana hakuna madhara yoyote yaliyotokea
Kesho na keshokutwa itatumika imani nyingine kufitinishwa na wengine! Wakiingia kwenye huo mkenge TUMEKWISHA!
Pamoja na kutuweka busy na haya maigizo yao lakini pia wanatest mitambo kuona lipi litaleta matokeo tarajiwa watembee nalo
Nimeumia Sana kuona watu wazima na akili zao wanatumika kwa ajili ya maslahi binafsi ya kikundi kidogo
Watanganyika sisi ni wamoja tusikubali kufitinishwa na kugombanishwa!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1DYaJcJ1xy/
Akili zako siko matakoni na pengine hata hizo za matakoni hauna 😂😂,mmeamua kujifariji na vituzo vya mchongo,huyu mama anasikitisha sana inaonesha ni namna gani alivyo na elimu ya kuunga unga na ndio matokeo yake haya