macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Mkuu Mshana Jr , maandamano ya 29/10 yalifanikiwa kwa asilimia 100. Kmbuka lengo lilikuwa ni NO REFORMS, NO ELECTION. Hili liliwezekana kwa asilimia zote na mataifa yote duniani yanajua kuwa Samia hakushinda bali alijitangaza. Kuhusu hatima ya Tanzania, ngoja nikuhakikishie kuwa tunakwenda kwenye mabadiliko na siku za CCM zinahesabika. Ukichunguza sana, kwa vituko vinavyoendelea sasa hivi, utagundua kuwa Samia ya kundi lake wamechanganyikiwa na wanazidi kulikoroga kuelekea kifo cha CCM. JAMBO MUHIMU: kutakuwa na kila aina ya mateso na maumivu kwa wananchi kwa kuwa hawa wahuni wanajaribu kutumia kila mbinu kujitetea, ila watakachoweza ni ku-delay na siyo mabadiliko.Punguza kubweka basi
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza 🚮Wakatoliki na madera wapi na wapi bhana!! Maigizo mengine yanachekesha sana.
JAMBO MUHIMU: kutakuwa na kila aina ya mateso na maumivu kwa wananchi kwa kuwa hawa wahuni wanajaribu kutumia kila mbinu kujitetea, ila watakachoweza ni ku-delay na siyo mabadiliko.Mkuu Mshana Jr , maandamano ya 29/10 yalifanikiwa kwa asilimia 100. Kmbuka lengo lilikuwa ni NO REFORMS, NO ELECTION. Hili liliwezekana kwa asilimia zote na mataifa yote duniani yanajua kuwa Samia hakushinda bali alijitangaza. Kuhusu hatima ya Tanzania, ngoja nikuhakikishie kuwa tunakwenda kwenye mabadiliko na siku za CCM zinahesabika. Ukichunguza sana, kwa vituko vinavyoendelea sasa hivi, utagundua kuwa Samia ya kundi lake wamechanganyikiwa na wanazidi kulikoroga kuelekea kifo cha CCM. JAMBO MUHIMU: kutakuwa na kila aina ya mateso na maumivu kwa wananchi kwa kuwa hawa wahuni wanajaribu kutumia kila mbinu kujitetea, ila watakachoweza ni ku-delay na siyo mabadiliko.
Angalau leo umekuwa na mawazo ya kiume,kudosHuu ujinga unaofanywa na hawa watu kutengeneza maigizo hautawafikisha popote,sana sana wanajitia aibu tu
Mimi nitasimamia kwenye ukweli siku zote,si sawa kuleta ***** ***** za kidini kwani hazitatufikisha popote pale,kama mtu ana shida na wakatoliki awaface na awaambie shida iko wapi,lakini sio kutafuta watu wa mchongo na kuwafanyisha maandamano.
Kuna maisha baada ya siasa,kuna maisha baada ya uongozi na kuna maisha baaada ya haya ya duniani,kwahiyo mwenye hekima huwa anaangalia mbali
Huwa nipo kwenye ukweli daima,kwahiyo siku nikipiga spana katika ukweli ambao hau hupendi itabidi uvumilie tu hahahaAngalau leo umekuwa na mawazo ya kiume,kudos
Saa mbovu nayo kuna muda inasema ukweliHuu ujinga unaofanywa na hawa watu kutengeneza maigizo hautawafikisha popote,sana sana wanajitia aibu tu
Mimi nitasimamia kwenye ukweli siku zote,si sawa kuleta ***** ***** za kidini kwani hazitatufikisha popote pale,kama mtu ana shida na wakatoliki awaface na awaambie shida iko wapi,lakini sio kutafuta watu wa mchongo na kuwafanyisha maandamano.
Kuna maisha baada ya siasa,kuna maisha baada ya uongozi na kuna maisha baaada ya haya ya duniani,kwahiyo mwenye hekima huwa anaangalia mbali
Walichokitaka ni kutaka kutuweka busy na wamefanikiwa kwenye hiliEti baba mtakatifu wa 16 yani hata Pope hawamjui wa sasa hivi?
Hao ilitakiwa waambiwe wasali kanuni ya imani. Maana hakuna mkatoliki asiyejua hiyo sala na hupati komunio kama huijui.
iko hivi ukweli ambao wewe hau hupendi utauchukia ila ukweli unao upenda utafurahiaSaa mbovu nayo kuna muda inasema ukweli
bado hujasemaAkili zako siko matakoni na pengine hata hizo za matakoni hauna 😂😂,mmeamua kujifariji na vituzo vya mchongo,huyu mama anasikitisha sana inaonesha ni namna gani alivyo na elimu ya kuunga unga na ndio matokeo yake haya
https://www.facebook.com/Huu ujinga unaofanywa na hawa watu kutengeneza maigizo hautawafikisha popote,sana sana wanajitia aibu tu
Mimi nitasimamia kwenye ukweli siku zote,si sawa kuleta ***** ***** za kidini kwani hazitatufikisha popote pale,kama mtu ana shida na wakatoliki awaface na awaambie shida iko wapi,lakini sio kutafuta watu wa mchongo na kuwafanyisha maandamano.
Kuna maisha baada ya siasa,kuna maisha baada ya uongozi na kuna maisha baaada ya haya ya duniani,kwahiyo mwenye hekima huwa anaangalia mbali
bado hujasema
Hakuna Kidawa mkristu?