Kutofanya kumbukizi ya Magufuli ni makosa yataigharimu CCM

Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli....
Who is chadema who is ccm

Si umeambiwa ukazikwe naye, au umeamua kutoka kaburini uje unywe huku jf? Hakuwa na umuhimu huo.
 
Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli....
Who is chadema who is ccm
Kama unatka kumtukuza huyo DIKTETA muuaji na mwizi nenda kaitishe wanao, wekeni jeneza lake sebuleni halafu endeleeni na msiba.

Hii CCM siyo yako wewe wala kile kikundi chenu cha kunyanga'anya wafanyabiashara fedha. Tumeirudisha inakostahili. Na kamwe huo UJINGA wa kufanya kumbukizi haitokuja tokea.
 
Hizi pumba peleka kwa wanao ndiyo ukawadanganye. Kuiokoa CCM ndiyo nini wakati DIKTETA alikuwa anawagawa watanzania kikabila na kiitikadi.
 
Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli....
Who is chadema who is ccm
Kwanini wananchi tulazimishwe hii kumbukizi? Kuna bini nyuma yake? What's so special with him. Personally I don't see a reason. Tusilazimishane kwa maslahi yenu binafsi. We don't need.
Kama unampenda do it yourself. Not everyone.
 
Hata wabumge zaidi ya 300 aliowapa ubunge wa mezani hakuna hata mmoja aliyeenda?? Mnataka mkulima aliyekichokea na maisha ndiye ashinde huadhimisha vifo?
Yeah ubunge wa Magu ulikuwa mwepesi mno. Maneno matatu ya Magu yalikuwa na nguvu mno
1. Nipeni connection
2. Msichanganye gunzi na betri tochi haitawaka.
3. Nipeni wabunge wa ccm maana naweza kuwawajibisha.
 
Mpaka leo woote wamemkacha shujaa wao.
 
Hizi pumba peleka kwa wanao ndiyo ukawadanganye. Kuiokoa CCM ndiyo nini wakati DIKTETA alikuwa anawagawa watanzania kikabila na kiitikadi.
Kama ulikuwa mkwepa kodi, mpiga dili, muuza madawa ya kulevya lazima ugawanywe na watanzania.
 
Kafilie kwa mbali na Magufuli wako, unadhani wapendwa wa Ben Saanane wanakuonaje
Sasa mnauhakika gani kama huyo Beni Saanane alikufa, kuna msiba wake au kaburi lake mahali, yaani tufanye kumbukizi kwa mtu aliyepotea na hatujui alipo, kama yupo Ubeligiji?

JPM kafa kweli na kaburi lake lipo Chato na sisi tutaendelea kumwombea mana mzee Baba ni kivuli kinaishi.
 
Hakuwapandisha madaraja na kuwaongezea mishahara watumishi wa umma.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
CCM imemezwa na majizi ambayo Hayati alituambia kuwa wanaiibia nchi.

Usitegemee wamkumbuke kwa sababu ukitaja jina lake tu, basi kwao chakula hakishuki.

Umesahau Mkutano Mkuu CCM walimnanga marehemu waziwazi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Si mlisema anapendwa na wananchi mbona sijaona wakifanya kumbukizi yoyote mtaani huku?

Basi tufanye CCM hawampendi, vipi wamachinga? Bodaboda? Wasanii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…