Kutofanya kumbukizi ya Magufuli ni makosa yataigharimu CCM

Kutofanya kumbukizi ya Magufuli ni makosa yataigharimu CCM

Mijitu mininga kama mtoa mada ndio inayoiharibu nchi.
Yule mwehu fisadi aliyekuwa akipigwa ufisadi wa wenzake akumbukwe kwa lipi?
 
Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli....
Who is chadema who is ccm

IMG_20230220_202917.jpg

Sisi wengine tunayafahamu hayo mambo tangu siku nyingi na ndio maana tuliamua kuelekea mlengo mwingine wa kisiasa. Huko kwingine hapafai 🙏🏽
 
1. Aliitoa ccm iliyochokwa shimoni.
2. Alirudisha mavazi na sare za ccm zilizochokwa kwenye jamii ya watanzania.
3. Alirudisha makundi yaliyoparaganyika na kujeruhiwa na uchaguzi ikiwemo kundi lowasa, kundi fredrick sumaye.
4. Alirudisha falsafa ya kuanzishwa ccm kwa kufanya chama cha wakulima, wafanyakazi na makundi mengine badala ya jumuiya ya wafanyabiashara.
5. Hukuitaji tena rushwa ya pesa au ya ngono au kuwa mtoto wa fulani kupata nafasi ndani ya chama na serikali.
6. Alileta utawala wa wote wa chama bila kujali wanaojiita wenye ccm. Hao waliovimbiwa na ubinafsi aliwanyoosha hasa hadi maji wakaita mma.
7. Makundi mengi yalianza kuvutiwa na kujiunga na chama hiki. Hata wasiokuwa na chama walikimbilia ccm kwa sababu ya falsafa za Magu na wenzie.
8. Alirejesha mali nyingi za chama.
9. Alikijengea chama uwezo wa kujitegemea hasa katika mikutano na shughuli za chama badala ya kupitisha kikombe kwa wafanyabiashara.
10. CCM haikuwa tena kichaka cha wakwepa kodi, wauza unga na wezi wa mali za uma.
11. Alisababisha CCM ikawa na akaunti iliyoshiba.
12. Aliwezesha mavazi na bidhaa zenye chata ya ccm ikiwemo saa kuwa biashara kubwa kwa wajasiriamali.
13. Aliondoa hulka ya wanaccm au viongozi wake kuvimbia raia mtaani badala wengi waligeuka kuwa watumishi wa watu.
14. Aliingiza wabunge wengi mno kwa shabaha ya maneno matatu; nipeni connection, gunzi na betri haziwashi tochi, nipeni huyu nammudu akiwazingua namuwajibisha.
15. Alirudisha imani kubwa ya chama kwa jamii.

Hiyo number 14 aliingiza wabunge wengi wa ccm kwa wizi wa kura na kuvuruga uchaguzi
 
Damu ya Ben Saanane itakutesa sana umekuwa chizi kabisa
Ben ndiyo nani nchi hii?Rais Karume alikula chuma akiwa madarakani atakuwa uyo mwana Ufipa mwenzenu.Ukichagua kupambana na mtawala ujue kuna kufa au kuozea jela.
 
Ben ndiyo nani nchi hii?Rais Karume alikula chuma akiwa madarakani atakuwa uyo mwana Ufipa mwenzenu.Ukichagua kupambana na mtawala ujue kuna kufa au kuozea jela.
Pumbavu kabisa wewe
 
1. Aliitoa ccm iliyochokwa shimoni.
2. Alirudisha mavazi na sare za ccm zilizochokwa kwenye jamii ya watanzania.
3. Alirudisha makundi yaliyoparaganyika na kujeruhiwa na uchaguzi ikiwemo kundi lowasa, kundi fredrick sumaye.
4. Alirudisha falsafa ya kuanzishwa ccm kwa kufanya chama cha wakulima, wafanyakazi na makundi mengine badala ya jumuiya ya wafanyabiashara.
5. Hukuitaji tena rushwa ya pesa au ya ngono au kuwa mtoto wa fulani kupata nafasi ndani ya chama na serikali.
6. Alileta utawala wa wote wa chama bila kujali wanaojiita wenye ccm. Hao waliovimbiwa na ubinafsi aliwanyoosha hasa hadi maji wakaita mma.
7. Makundi mengi yalianza kuvutiwa na kujiunga na chama hiki. Hata wasiokuwa na chama walikimbilia ccm kwa sababu ya falsafa za Magu na wenzie.
8. Alirejesha mali nyingi za chama.
9. Alikijengea chama uwezo wa kujitegemea hasa katika mikutano na shughuli za chama badala ya kupitisha kikombe kwa wafanyabiashara.
10. CCM haikuwa tena kichaka cha wakwepa kodi, wauza unga na wezi wa mali za uma.
11. Alisababisha CCM ikawa na akaunti iliyoshiba.
12. Aliwezesha mavazi na bidhaa zenye chata ya ccm ikiwemo saa kuwa biashara kubwa kwa wajasiriamali.
13. Aliondoa hulka ya wanaccm au viongozi wake kuvimbia raia mtaani badala wengi waligeuka kuwa watumishi wa watu.
14. Aliingiza wabunge wengi mno kwa shabaha ya maneno matatu; nipeni connection, gunzi na betri haziwashi tochi, nipeni huyu nammudu akiwazingua namuwajibisha.
15. Alirudisha imani kubwa ya chama kwa jamii.
Mkuu utawafanya Walamba asali walambe ndimu kwa uchungu!
 
Kama unatka kumtukuza huyo DIKTETA muuaji na mwizi nenda kaitishe wanao, wekeni jeneza lake sebuleni halafu endeleeni na msiba.

Hii CCM siyo yako wewe wala kile kikundi chenu cha kunyanga'anya wafanyabiashara fedha. Tumeirudisha inakostahili. Na kamwe huo UJINGA wa kufanya kumbukizi haitokuja tokea.
CCM ni chama cha Wakulima na Wafanyakazi na siyo Walamba asali (Wafanyabiashara uchwara)
Subirini mtashangazwa sana mwaka huu!
 
Hizi pumba peleka kwa wanao ndiyo ukawadanganye. Kuiokoa CCM ndiyo nini wakati DIKTETA alikuwa anawagawa watanzania kikabila na kiitikadi.
Lamba ndimu kupunguza uchungu!
 
kwamba mliteka na kuuwa watu ili kusiwe na makabur yao.
Huo ni ujinga wenu,Lissu alipigwa risasi akakimbia nchi huko tangu apone uwa anasema waliompiga risasi anawajua na atawataja, ila mpaka sasa wamerudi Tanzania toka mafichoni na hajawai taja wahusika wa tukio hilo,Mbowe alilewa akaanguka kwenye ngazi akavunjika mguu akasema alipigwa na watu wasiojulikana ila ilshajulikana chanzo ni pombe Aina ya Faru John,Zitto alimteka kijana wake akasema ametekwa na wasiojulikana ila kumbe alikuwa anadaiwa na huyo kijana rafiki wa mpenz wake huko kenya.
Hii ni tabia ya vyama vyetu kutafta tu huruma kwa kuchafua wengine na siasa zenu za kishoga shoga.
 
Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli....
Who is chadema who is ccm
Kibinadamu, bora mara elfu moja na moja ccm kulipa hiyo gharama kubwa kisiasa kuliko kuuenzi uongozi ulioumiza nchi kiasi kile. Kuna mtu mmoja tu wa kuenziwa na ccm na raia wote wa nchi hii bila kujali ufuasi wao wa vyama vya siasa: Nyerere! Kumchanganya Nyerere na vijitu vingine vya ajabu ajabu ni kudhalilisha utaifa wetu.
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli,nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia,

1. UFISADI/MWIZI nataka kujua JPM alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe

2. MUUAJI/SHETANI je alimuua nani?

3. ALIPORA MALI ZA WATU je JPM alipora mali za kina nani na kwa njia gani?tafazal iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke

4. DICTATOR UCHWARA je udictator wake ni upi? Tuwekane sawa iki tujue kwa undani maana kuna watu ukitaja jina la JPM anaweza kukuzaba kibao
 
Back
Top Bottom