Mamba_Mtoni
JF-Expert Member
- Feb 18, 2023
- 420
- 766
Jifunzeni ku-move on
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli Umenena duh!! Wote kimyaaaa !! Wanaogopa ??!! Au ??Hata wabumge zaidi ya 300 aliowapa ubunge wa mezani hakuna hata mmoja aliyeenda?? Mnataka mkulima aliyekichokea na maisha ndiye ashinde huadhimisha vifo?
Duh !!Si umeambiwa ukazikwe naye, au umeamua kutoka kaburini uje unywe huku jf? Hakuwa na umuhimu huo.
Nakublock maana wewe unaniharibia time and Mbs!Sasa mnauhakika gani kama huyo Beni Saanane alikufa, kuna msiba wake au kaburi lake mahali, yaani tufanye kumbukizi kwa mtu aliyepotea na hatujui alipo, kama yupo Ubeligiji?
JPM kafa kweli na kaburi lake lipo Chato na sisi tutaendelea kumwombea mana mzee Baba ni kivuli kinaishi.
Sio unablock uache kabsaa kuingia humu na kuwa unachangia comment za hovyo.Nakublock maana wewe unaniharibia time and Mbs!
Unachotaka kumaanisha ni kipi hapo?😂😂😂😂 Si mlisema anapendwa na wananchi mbona sijaona wakifanya kumbukizi yoyote mtaani huku?
Basi tufanye CCM hawampendi, vipi wamachinga? Bodaboda? Wasanii?
Sasa jaman kiongozi huchaguliwa ili afanye mambo mazuri na ya Maana... Sasa mtafanya kumbukizi ya viongozi wangapi wa CCM, Kuna wazee kibao waliotangulia wengi mbele za haki wametoa mchango mkubwa, Kuna raisi kama mkapa anamchango mkubwa sana Sasa mtafanya kumbukizi za wangapi? Kiongozi fanya mazuri ni wa jibu wake sio fadhila...magufuli alitimiza wajibu wake kama kiongozi1. Aliitoa ccm iliyochokwa shimoni.
2. Alirudisha mavazi na sare za ccm zilizochokwa kwenye jamii ya watanzania.
3. Alirudisha makundi yaliyoparaganyika na kujeruhiwa na uchaguzi ikiwemo kundi lowasa, kundi fredrick sumaye.
4. Alirudisha falsafa ya kuanzishwa ccm kwa kufanya chama cha wakulima, wafanyakazi na makundi mengine badala ya jumuiya ya wafanyabiashara.
5. Hukuitaji tena rushwa ya pesa au ya ngono au kuwa mtoto wa fulani kupata nafasi ndani ya chama na serikali.
6. Alileta utawala wa wote wa chama bila kujali wanaojiita wenye ccm. Hao waliovimbiwa na ubinafsi aliwanyoosha hasa hadi maji wakaita mma.
7. Makundi mengi yalianza kuvutiwa na kujiunga na chama hiki. Hata wasiokuwa na chama walikimbilia ccm kwa sababu ya falsafa za Magu na wenzie.
8. Alirejesha mali nyingi za chama.
9. Alikijengea chama uwezo wa kujitegemea hasa katika mikutano na shughuli za chama badala ya kupitisha kikombe kwa wafanyabiashara.
10. CCM haikuwa tena kichaka cha wakwepa kodi, wauza unga na wezi wa mali za uma.
11. Alisababisha CCM ikawa na akaunti iliyoshiba.
12. Aliwezesha mavazi na bidhaa zenye chata ya ccm ikiwemo saa kuwa biashara kubwa kwa wajasiriamali.
13. Aliondoa hulka ya wanaccm au viongozi wake kuvimbia raia mtaani badala wengi waligeuka kuwa watumishi wa watu.
14. Aliingiza wabunge wengi mno kwa shabaha ya maneno matatu; nipeni connection, gunzi na betri haziwashi tochi, nipeni huyu nammudu akiwazingua namuwajibisha.
15. Alirudisha imani kubwa ya chama kwa jamii.
Kamuulize Mzee wa Bumbuli na C. MUSIBA kama walishiriki!!Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli....
Who is chadema who is ccm
Kila mtu anaweza kufanya hivyo. Kumrudisha CCM na mavazi yake kwa kuwaua na kiwatesa wanaoikosoa CCM, kila mtu anaweza. Wala hakufanya hivyo kwa ishawishi, bali kwa maglbavu.1. Aliitoa ccm iliyochokwa shimoni.
2. Alirudisha mavazi na sare za ccm zilizochokwa kwenye jamii ya watanzania.
3. Alirudisha makundi yaliyoparaganyika na kujeruhiwa na uchaguzi ikiwemo kundi lowasa, kundi fredrick sumaye.
4. Alirudisha falsafa ya kuanzishwa ccm kwa kufanya chama cha wakulima, wafanyakazi na makundi mengine badala ya jumuiya ya wafanyabiashara.
5. Hukuitaji tena rushwa ya pesa au ya ngono au kuwa mtoto wa fulani kupata nafasi ndani ya chama na serikali.
6. Alileta utawala wa wote wa chama bila kujali wanaojiita wenye ccm. Hao waliovimbiwa na ubinafsi aliwanyoosha hasa hadi maji wakaita mma.
7. Makundi mengi yalianza kuvutiwa na kujiunga na chama hiki. Hata wasiokuwa na chama walikimbilia ccm kwa sababu ya falsafa za Magu na wenzie.
8. Alirejesha mali nyingi za chama.
9. Alikijengea chama uwezo wa kujitegemea hasa katika mikutano na shughuli za chama badala ya kupitisha kikombe kwa wafanyabiashara.
10. CCM haikuwa tena kichaka cha wakwepa kodi, wauza unga na wezi wa mali za uma.
11. Alisababisha CCM ikawa na akaunti iliyoshiba.
12. Aliwezesha mavazi na bidhaa zenye chata ya ccm ikiwemo saa kuwa biashara kubwa kwa wajasiriamali.
13. Aliondoa hulka ya wanaccm au viongozi wake kuvimbia raia mtaani badala wengi waligeuka kuwa watumishi wa watu.
14. Aliingiza wabunge wengi mno kwa shabaha ya maneno matatu; nipeni connection, gunzi na betri haziwashi tochi, nipeni huyu nammudu akiwazingua namuwajibisha.
15. Alirudisha imani kubwa ya chama kwa jamii.
Umegeuza mada. Umesema mligawanywa. Ndio nikakupa sababu ya hilo kundi lenu kugawanywa na watanzania.Wanachi woote hawajaenda kwenye kumbukizi na wala hawana habari wote hawa ni wakwepa kodi?
Kama hawakuwa competents zaidi ya rushwa na ufisadi unampandishaje? Au ndio mliishi kwa mazoea.Hakuwapandisha madaraja na kuwaongezea mishahara watumishi wa umma.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Kuna kipindi wanachadema mlikufa kama kipindi cha JK.? Si mlikuwa mnakufa kama mizoga? Ulizia Arusha. Mbona bado mlikuwa mnazuia ccm kuvaa yale mavazi. Mbona hata kkoo ulikuwa hukatizi nayo enzi hizo?Kila mtu anaweza kufanya hivyo. Kumrudisha CCM na mavazi yake kwa kuwaua na kiwatesa wanaoikosoa CCM, kila mtu anaweza. Wala hakufanya hivyo kwa ishawishi, bali kwa maglbavu. Hivyo kila mtu akaogopa.
Nani anapenda kufa? Tena, kipindi cha JPM ndo CCM ingekufa kabisa, ndo maana alikataza mikutano yote ya vyama vya siasa, maana alijua mziki wake. CCM ilioneka haina mvuto tena kwa sababu JK aliachia demokrasia ichukue mkondo wake.
JPM alichokifanya ni sawa na kumpinga mke kila siku ili akupende.
Kwani Chadema mkienda kujifanya hiyo kumbukizi Kuna tatizo? Acha ujingaAmekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli....
Who is chadema who is CCM
Kwani wanaolalamika kuhusu kumbukizi ni Chadema au Ccm wenzie na mwendazake ?, Chadema hawataki kusikia kitu inaitwa kumbukizi ya JPM !!Kwani Chadema mkienda kujifanya hiyo kumbukizi Kuna tatizo? Acha ujinga
Yaani bado tu, mpo mnaugulia bila kukata tamaa, hongereni, serekali na chama ziliwakilishwa na ngazi zote stahili kwa si lazima rais awepo kila pahala na ndio maana anawasaidizi kwa kila ngazi.Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli....
Who is chadema who is ccm
huku wakiwaza kama watapita mbele ya chadema.Mpaka leo woote wamemkacha shujaa wao.
kwamba mliteka na kuuwa watu ili kusiwe na makabur yao.Sasa mnauhakika gani kama huyo beni saanane alikufa,kuna msiba wake au kaburi lake mahali,yaani tufanye kumbukizi kwa mtu aliyepotea na hatujui alipo,Kama yupo Ubeligiji?
Jpm kafa kweli na kaburi lake lipo chato na sisi tutaendelea kumwombea mana mzee Baba ni KIVULI KINAISHI