Kutofanya kumbukizi ya Magufuli ni makosa yataigharimu CCM

Hata wabumge zaidi ya 300 aliowapa ubunge wa mezani hakuna hata mmoja aliyeenda?? Mnataka mkulima aliyekichokea na maisha ndiye ashinde huadhimisha vifo?
Kwakweli Umenena duh!! Wote kimyaaaa !! Wanaogopa ??!! Au ??
 
Nakublock maana wewe unaniharibia time and Mbs!
 
😂😂😂😂 Si mlisema anapendwa na wananchi mbona sijaona wakifanya kumbukizi yoyote mtaani huku?

Basi tufanye CCM hawampendi, vipi wamachinga? Bodaboda? Wasanii?
Unachotaka kumaanisha ni kipi hapo?

Mbona unaruka hoja ya msingi?
 
siku ya kumbukumbu ya makufuli chawa wa mama wameleta miaka miwili ya mama ili watu wasikumbuke ya jpm
 
Wahuni Siyo Watu Wazuri Ndiyo Waliozuia Jambo La Kumbukizi
 
Sasa jaman kiongozi huchaguliwa ili afanye mambo mazuri na ya Maana... Sasa mtafanya kumbukizi ya viongozi wangapi wa CCM, Kuna wazee kibao waliotangulia wengi mbele za haki wametoa mchango mkubwa, Kuna raisi kama mkapa anamchango mkubwa sana Sasa mtafanya kumbukizi za wangapi? Kiongozi fanya mazuri ni wa jibu wake sio fadhila...magufuli alitimiza wajibu wake kama kiongozi
 
Kila mtu anaweza kufanya hivyo. Kumrudisha CCM na mavazi yake kwa kuwaua na kiwatesa wanaoikosoa CCM, kila mtu anaweza. Wala hakufanya hivyo kwa ishawishi, bali kwa maglbavu.

Hivyo kila mtu akaogopa. Nani anapenda kufa? Tena, kipindi cha JPM ndio CCM ingekufa kabisa, ndio maana alikataza mikutano yote ya vyama vya siasa, maana alijua mziki wake. CCM ilioneka haina mvuto tena kwa sababu JK aliachia demokrasia ichukue mkondo wake.

JPM alichokifanya ni sawa na kumpinga mke kila siku ili akupende.
 
Wanachi woote hawajaenda kwenye kumbukizi na wala hawana habari wote hawa ni wakwepa kodi?
Umegeuza mada. Umesema mligawanywa. Ndio nikakupa sababu ya hilo kundi lenu kugawanywa na watanzania.
 
Hakuwapandisha madaraja na kuwaongezea mishahara watumishi wa umma.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Kama hawakuwa competents zaidi ya rushwa na ufisadi unampandishaje? Au ndio mliishi kwa mazoea.

Yaani uniibie kisha nikupandishe cheo. Ujinga huo anauweza hangaya tu.
 
Kuna kipindi wanachadema mlikufa kama kipindi cha JK.? Si mlikuwa mnakufa kama mizoga? Ulizia Arusha. Mbona bado mlikuwa mnazuia ccm kuvaa yale mavazi. Mbona hata kkoo ulikuwa hukatizi nayo enzi hizo?
 
Kwani Chadema mkienda kujifanya hiyo kumbukizi Kuna tatizo? Acha ujinga
Kwani wanaolalamika kuhusu kumbukizi ni Chadema au Ccm wenzie na mwendazake ?, Chadema hawataki kusikia kitu inaitwa kumbukizi ya JPM !!
 
Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli....
Who is chadema who is ccm
Yaani bado tu, mpo mnaugulia bila kukata tamaa, hongereni, serekali na chama ziliwakilishwa na ngazi zote stahili kwa si lazima rais awepo kila pahala na ndio maana anawasaidizi kwa kila ngazi.
 
kwamba mliteka na kuuwa watu ili kusiwe na makabur yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…