Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona Mahala kumeanikwa madhara anayoweza kupata mwanaume endapo hajafanya mapenzi /ngono kwa mda mrefu na kama yapo ningependa tuelekezane katka hili ni hayo nawasilisha hoja mezani ✍️