Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
- Thread starter
- #41
😂😂Asantesasa unakuta uko timamu kiafya kila idara imekamilika vichocheo vya mwili viko moto na huna mchuchu, huna miadi na yeyote na huko chini tayari kumeshapata moto network iko 7G kakuku kanakatiza hapo kanafukuzwa na jogoo 🐒
acha kabisaa,
hiyo ni hatari sana , usikae idle ukiwa kwenye hali kama hiyo 🐒