Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna athari zipi kwa mwanaume?

Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna athari zipi kwa mwanaume?

😂😂😂Naitaji kupata huu ujasiri maana nimejaribu miezi mitatu tu nimeshindwa mara umeskia mgongo unauma kuchoka kindezi ndezi na apo mazoezi nafanya
Ukiona mwanaume anakaa hata mwezi mmoja bila kukutana kimwili na mwanamke jua huyo Ni mla nyeto 😂
Mwanaume rijali kukaa hata wiki 3 bila kula mbususu Ni kazi ngumu Sana.
 
Acheni kujitoa ufahamu! Eti nyeto!

Biology mlisoma tabia za kiumbe hai:

Moja wapo ya tabia hizo ni Kuzaliana (Reproduction) which means kufanya mapenzi ni moja ya tabia za kiumbe hai. Kama hufanyi hayo maana yake wewe unajitoa kwenye sifa za kiumbe hai.


Binadamu kamili ni lazima ule, unywe, uende chooni, ufanye mapenzi, upendwe, ucheke, uongee, ufanye kazi.

Yaani kufanya mapenzi ni sehemu ya uhai na ukamilifunwa mtu.
 
Back
Top Bottom