Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
- Thread starter
- #81
Kwer kabisa elimu imesimama 😄 hapaAcheni kujitoa ufahamu! Eti nyeto!
Biology mlisoma tabia za kiumbe hai:
Moja wapo ya tabia hizo ni Kuzaliana (Reproduction) which means kufanya mapenzi ni moja ya tabia za kiumbe hai. Kama hufanyi hayo maana yake wewe unajitoa kwenye sifa za kiumbe hai.
Binadamu kamili ni lazima ule, unywe, uende chooni, ufanye mapenzi, upendwe, ucheke, uongee, ufanye kazi.
Yaani kufanya mapenzi ni sehemu ya uhai na ukamilifunwa mtu.