Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
- Thread starter
- #121
Mamaaaaah!!!WAJITATHIMINI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamaaaaah!!!WAJITATHIMINI
Naweza vizuri japo sio rahisi, nna mbinu zangu kuepuka kuingia vishawishi. Nikiona usawa unakaba sana najikeep busy sana. Huwa nachora ili nisivunje nadhiri yangu.Kwamba unaweza kumaliza mwezi bila kunyetuka?
You're on the right track, keep it up bro.Naweza vizuri japo sio rahisi, nna mbinu zangu kuepuka kuingia vishawishi. Nikiona usawa unakaba sana najikeep busy sana. Huwa nachora ili nisivunje nadhiri yangu.
Kabisa,atafute bibi awe anafanya mazoezi mara kwa mara kabla confidence haijamkimbia akajiongezea aibu na kuingizwa kwenye umoja wa wanaume wasio na nguvu za kiume kumbe shida ni nyingine kabisa.
Naaaaaam,wewe ni mwambaa kabisaTafuta mke mwingine hata wa mpito tu, ufaidi
WEST HAM UNITED MUST DO US A FAVOUR. TUMECHOKA MAN CITY KILA MWAKA KUWA BINGWA.😂 nmecheka sana dah
Kuilamba bibi na ngono zembe inaweza kuwa sawa lakini si sawa kama unafahamu ngono zembe na kuitandika ni vitu viwili tofauti maana hata wenye wake tu/wanaicharaza ,wenye wapenzi wanaicharaza..usiogope kutafuta bibi na kuikamatia kama umetoka kifungoni .Kwaiyo suluhisho Niku ndinya tu sumesikia kuna ngono zembe ukisoma ww
😂 mimi huwa sifanyi fanyi ila siku nikifanya nafanya kweli na napenda nifanye na mtu nnaemkubali sana.Experience zimeanza kuongea😀😀😃😃
Huko kwenu huna Kaka au rafiki ambaye unaweza kumfukua mpaka uje kunishobokea Mimi?Mim napakua Mzee au unataka nije nikupakue
Kila mtu ashinde mechi zake mkuu, hata westham ashinde zake 😅😂WEST HAM UNITED MUST DO US A FAVOUR. TUMECHOKA MAN CITY KILA MWAKA KUWA BINGWA.
Mim na wew Nan kamshobokea mwezieHuko kwenu huna Kaka au rafiki ambaye unaweza kumfukua mpaka uje kunishobokea Mimi?
Usiniletee huo ushetani wako bana,ushindwe na ulegee...!
✊✌You're on the right track, keep it up bro.
Nilijua tu 😃Nyeto
Weka hapa number nikutumie hata buku tano ukanunua malaya huko mitaani kwenu uache kufukua vinyeo vyao wanaume wenzio kijana.Mim na wew Nan kamshobokea mwezie
Kakuku ka mama Rhoda hahahaa mnanikumbusha mbali sana hivi mwanamziki huyu Bado anaimba na kucheza,aliyeimba wimbo wa kikuku cha mama Rhodasasa unakuta uko timamu kiafya kila idara imekamilika vichocheo vya mwili viko moto na huna mchuchu, huna miadi na yeyote na huko chini tayari kumeshapata moto network iko 7G kakuku kanakatiza hapo kanafukuzwa na jogoo 🐒
acha kabisaa,
hiyo ni hatari sana , usikae idle ukiwa kwenye hali kama hiyo 🐒
Tunza kibunda, afya na muda.Nilijua tu 😃
Zimesema tunapata magonjwa ya akili 😂😂😂Hizo makala zimesemaje kwa upande wa mwanamke?
Thank brotherKwanza hamna madhara yoyote ,zaidi ya faida
Hauzeeki mapema
Unakuza uchumi wako.
Unanakuwa smart -kuyaendea mambo.
Kwa hiyo wewe mtumwa mtiifu wa nyeto dogo?Nimeweka nguvu zangu zote kwenye kujiondoa chaputa