Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna athari zipi kwa mwanaume?

Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna athari zipi kwa mwanaume?

Kijana,unaonekana umekosa kwa muda mrefu hadi unaanza kujishtukia🤣

Tafuta bibi ukakidumbukize huko kabla hujafika kutufungulia thread "imelala nikiwa na mchuchuu kitandani wakati wa kunipa mambo"

Ifanyishe mazoeziiii
Mkuu hapa naona unaongelea ile dhana ya " Disuse & Misuse"

Kijana ashtuke mapema kabla hajaumbuka
 
Mkuu hapa naona unaongelea ile dhana ya " Disuse & Misuse"

Kijana ashtuke mapema kabla hajaumbuka
Kabisa,atafute bibi awe anafanya mazoezi mara kwa mara kabla confidence haijamkimbia akajiongezea aibu na kuingizwa kwenye umoja wa wanaume wasio na nguvu za kiume kumbe shida ni nyingine kabisa.
 
Back
Top Bottom