Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Hivi kumbe kwaiyo Yale mahasira wanayopata wanake hutokana na ninihakuna athari yoyote, unakaribia mwaka wa 5 huu uchi wa KE siujui
ukiwa busy , wanaozini unabaki kuwashangaa
PS:Nanyetuka
Kwani hayo madhara unaweza kuyapima na kuthibitisha wewe?Hakuna athari yoyote unapata Mimi Nina mwaka wa pili na miezi kadhaa na Nina furaha sana kuliko mwanzo wakati naduvuana hovyo hovyo
kutopewa pesa za kutoshaHivi kumbe kwaiyo Yale mahasira wanayopata wanawake hutokana na nini
Huwezi kukaa miaka 5 huja.....tmba acha uwongo. Labda uwe hanithihakuna athari yoyote, unakaribia mwaka wa 5 huu uchi wa KE siujui
ukiwa busy , wanaozini unabaki kuwashangaa
PS:Nanyetuka
mie kuloweka mara ya mwisho ni Dec 2020 , mwendo wa kukwea tu hadi mda huuHuwezi kukaa miaka 5 huja.....tmba acha uwongo. Labda uwe hanithi
Nisipokula au npokula chakula mwingine atajuaje kushiba au kutoshiba kwanguKwani hayo madhara unaweza kuyapima na kuthibitisha wewe?
Inawezekana kama ana njia zake mbadala anazozijua yeye. Kuta za vyumba vya watu zinaficha mengi. Watu wanaishi na yao siku akipata tatizo watu wakaingia chumbani mnayoyakuta inabidi kufichiana aibu tu.Huwezi kukaa miaka 5 huja.....tmba acha uwongo. Labda uwe hanithi
Mpe na siri ya haya mafanikio Mkuu ππhakuna athari yoyote, unakaribia mwaka wa 5 huu uchi wa KE siujui
ukiwa busy , wanaozini unabaki kuwashangaa
PS:Nanyetuka
ujitoe akili kweli kweli, asije akabaka tuMpe na siri ya haya mafanikio Mkuu ππ
Unatakiwa kuwa busy mno ili hili litokee, uwe daktari bingwa, eng flani hivi una kazi saa zote, yaani usiwe idle kabisa, na katika mazingira hayo hata JF hutoifahamu maana kama una mda na smartphone lazima utapata mda wa kukumbuka minyege uliyo nayo na hapo utajikuta unatype www. Mafutamkononi.com.Sijasoma yote ila ukiwa busy na maisha muda wa kuwaza uchi unakosa .........binafsi sijala pussy wala kunyetuka tangu mwaka jana october...mienzi saba sasa nataka nifunge miaka miwili.Yes inawezekana.
Nijiona nipo active sana.
Kaka inatakiwa almost miaka mingapi vile hujasikia nyegeππHuwezi kukaa miaka 5 huja.....tmba acha uwongo. Labda uwe hanithi
Madhara ya kuwa na shahawa nyingi mwilini na kujisikia hamu ya kujisikia hamu ya kufanya mapenzi (libido)Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona Mahala kumeanikwa madhara anayoweza kupata mwanaume endapo hajafanya mapenzi /ngono kwa mda mrefu na kama yapo ningependa tuelekezane katka hili ni hayo nawasilisha hoja mezani βοΈ
Kwaiyo umeshinda kama mshipi na unakula hovyo Mimi nimesema ambae hataki kushiriki ngono zembe kabisaπππHakuna athari yoyote unapata Mimi Nina mwaka wa pili na miezi kadhaa na Nina furaha sana kuliko mwanzo wakati naduvuana hovyo hovyo
Kwanza inaongeza kujiamini na kujithamini na kuwa na standards zako, yaani sahivi kila mwanamke namuona wa kawaida na mwanamke yeyote lazima afike viwango vyangu ndo niwe nawe kikubwa katika hilo awe na akili na mentality inayokaribiana au kufanana na Mimi nikikosa wa hivyo bora nife nimedinda kuliko kuchafua dushe yangu kwa wanawake wasio na akili
Maana Mimi ninafanya mazoezi ya Kawaida sana lkn Hali inanikuta sasa je swali ndio liko apoMadhara ya kuwa na shahawa nyingi mwilini na kujisikia hamu ya kujisikia hamu ya kufanya mapenzi (libido)