Athari zipo wacha ubishhi mwili una tabia ya kujibadili kwa kufuata aina ya maisha unayo fuata na icho ndiyo kina wakumba hata mashoga hadi hawawezi tena kutamani wanawake au kutumia wanawake...maana hata wao walipo anza ushoga walidhani hakuna tatizo polepole miili yao ikajibadili tabia na kujikuta wamesha tumbukia kwenye kifungo wasicho weza kutoka .....athari zake ni kubwa tena ni za hakika ...nikama punyeto