Na makucha yake.Kumekucha
Sasa wameshindwa kukaa vikaoni kuja na msimamo wa pamoja wa kukabiliana na CDM Hadi Kila Mmoja atoke kivyake?Yote ni hofu dhidi ya Chadema kuelekea 2025
Tatizo viongozi hawajui mipaka ya majukumu yaoNa makucha yake.
Kinana na Nape walikuwa wakiongozana.
Saizi Kila mtu na notebook yake kivyake.
Sasa tutafanyeje Ili chama kisimfie mkt?Tatizo viongozi hawajui mipaka ya majukumu yao
CCM ilipoasisiwa ilikuwa na Katibu Mtendaji baadae wakabadili na kuwa na Katibu Mkuu
Nape alilielewa hili LAKINI Polepole alikuja na Utaratibu wake na nadhani ndio unaendelezwa hadi sasa
Kwa sasa Katibu wa Fedha na yule wa Mahusiano ya Kimataifa Wamefunikwa kabisa na hawajulikani Hata Majina yao tu 😄
Kama Chama hakijafa 2015 basi Ujue hakitakufa tena 🐼Sasa tutafanyeje Ili chama kisimfie mkt?
Basi tusubiri.Kama Chama hakijafa 2015 basi Ujue hakitakufa tena 🐼
Vikao vya ndani ni muhimu, watoke na msimamo mmoja .. namna ya kuwasilisha sera na usikilizaji, utendajiSasa tutafanyeje Ili chama kisimfie mkt?
Nani sasa awafikishie taarifa?Vikao vya ndani ni muhimu, watoke na msimamo mmoja .. namna ya kuwasilisha sera na usikilizaji, utendaji
viongozi wa Juu ndiyo Dira yetu kukiwepo na kutokuwa na kauli mmoja uleta makundi na sintofahamu hasa kwa kipindi hiki muhimu kupelekea 2025
ili lengo litimie CCM ibaki kuwa chama tawala .
#Vikao_vya_Ndani_Muhimu
Inaeleweka vizuri, Makonda ni team Magufuli, Nchimbi ni team Lowassa sasa kajificha kizimkazi. Hawawezi kuelewana.Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Cc Lucas mwashambwaNani sasa awafikishie taarifa?
KM amesema wazi kabisa akiwa Zanzibar kuwa Yeye ni mtu wa misimamo, ikiwa chama hakipendi misimamo yake, wamfukuze haraka.
Mwenezi naye aliapa chato kaburini kuwa hawezi msaliti JPM, Yuko radhi apigwe Risasi kuliko kumsaliti.
Sasa hapo itakuwaje?
Wazazi wanaweza kukalishwa kikao na watoto ,suluhu ikapatikana?
Cc: Pascal Mayalla
Anayeeleweka zaidi ni yule anayewasemea wananchi zidi ya uonevu toka kwa viongozi miungu watu. Dkt Nchimbi hatofanikiwa kabisa kumshusha Makonda, kitakachotokea ni kuwa Dkt Nchimbi anajimaliza kisiasa. Yaani iko hivi, wakuda wamekaa wakapiga mahesabu hivi huyu anayejifanya kuijua CCM tunammalizaje??? Mpe ukatibu mkuu, kwa sababu anamawazo ya kizamani, muache ajianike ili umma wa watanzania wajue ni wa aina gani then ikija 2025 hakuna mwingine zaidi ya Dkt SamiaSalaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Upinzani huo wa wazi wa viongozi wakubwa ndani ya chama unamnufaishaje mkt Moja Kwa moja bila athari?Anayeeleweka zaidi ni yule anayewasemea wananchi zidi ya uonevu toka kwa viongozi miungu watu. Dkt Nchimbi hatofanikiwa kabisa kumshusha Makonda, kitakachotokea ni kuwa Dkt Nchimbi anajimaliza kisiasa. Yaani iko hivi, wakuda wamekaa wakapiga mahesabu hivi huyu anayejifanya kuijua CCM tunammalizaje??? Mpe ukatibu mkuu, kwa sababu anamawazo ya kizamani, muache ajianike ili umma wa watanzania wajue ni wa aina gani then ikija 2025 hakuna mwingine zaidi ya Dkt Samia
Wacha watifuane tuSalaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni [emoji120]
Halafu wote watu wa ndumba na ngayiMafahari Hawa wawili watapikika chungu kimoja?