Pre GE2025 Kutofautiana kauli na mtizamo wa Katibu Mkuu na Mwenezi CCM kunaashiria nini kuelekea Uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Salaam, Shalom!!

Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.

KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.

Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?

Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?

Karibuni [emoji120]
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa serikali lakini hakugusia kuhusu wao kuhojiwa ili watoe maelekezo ama ufafanuzi juu ya kadhia mbalimbali zinazowahusu wananchi.

Mtindo wa kukaripia, kukemea, kubagaza, kufedhehesha na kutumbua watendaji hadharani ulikuwepo sana wakati wa utawala wa JPM. Lakini pia ndiyo mtindo ambao wananchi wengi wa hali ya chini wanaupenda sana.
 
Salaam, Shalom!!

Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.

KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.

Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?

Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?

Karibuni 🙏
Kwangu Mimi Makonda NI jambazi Tu na anastahili kuwa jela.

Lakini Kwa hili nitamtetea Makonda Yuko Sahihi.

Utawala wa Kizimkazi ni dhaifu Sana, Leo kilo ya sukari ni sh 5000/=

Sasa lazima awepo kichaa mmoja wa kuwajambisha hawa wajinga watendaji wa serikali waliojisahau.

CCM ndio yenye ilani na wanaosimamia hiyo ilani ni hao kina Makonda, Mimi nampa moyo Makonda aendelee kuwapelekesha hao watendaji wazembe wa serikali na akiweza aingie Tanesco maana Tanesco ndio imeshindikana mpaka sasa.
 
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa serikali lakini hakugusia kuhusu wao kuhojiwa ili watoe maelekezo ama ufafanuzi juu ya kadhia mbalimbali zinazowahusu wananchi.

Mtindo wa kukaripia, kukemea, kubagaza, kufedhesha na kutumbua watendaji hadharani ilikuwepo sana wakati wa utawala wa JPM. Lakini pia ndiyo mtindo ambao wananchi wengi wa hali ya chini wanaupenda sana.
Lini Nchimbi alimpigia simu waziri au mtendaji hadharani kutaka ufafanuzi jukwaani?
 
Kwangu Mimi Makonda NI jambazi Tu na anastahili kuwa jela.

Lakini Kwa hili nitamtetea Makonda Yuko Sahihi.

Utawala wa Kizimkazi ni dhaifu Sana, Leo kilo ya sukari ni sh 5000/=

Sasa lazima awepo kichaa mmoja wa kuwajambisha hawa wajinga watendaji wa serikali waliojisahau.

CCM ndio yenye ilani na wanaosimamia hiyo ilani ni hao kina Makonda, Mimi nampa moyo Makonda aendelee kuwapelekesha hao watendaji wazembe wa serikali na akiweza aingie Tanesco maana Tanesco ndio imeshindikana mpaka sasa.
Ndo nasemaje,

Ikiwa uelekeo wa Mwenezi uko sahihi, kwanini wasikae kikao na kupitisha uelekeo huo uwe wa chama kizima?
 
Ikiwa Mwenezi Yuko sahihi, huoni Kuna haja ya wao kukaa pamoja vikaoni na Kutoka na uelekeo mmoja wa chama kuelekea Uchaguzi?

Achofanya Makonda kama Mwenezi sio anafanya tu, Mwenyekiti wetu, Mh. Samia kampa baraka zote, labda hujui vema CCM wewe, KM anajua vema pia anachofanya Makonda, pia KM kampa baraka, mwenezi hawezi fanya kazi bila kibali cha KM, na kazi hiyo kuzunguka mikoani na kufuatilia kazi za maendeleo ni jukumu la Chama kuisimamia serikali

Labda wewe ulitaka nae KM aende kwa mtindo wa Makonda, hapana, sio lazima, lakini kwa jinsi tunajua watendaji serikalini, mtindo wa Makonda unafaa zaidi kwani utaleta matokeo chanya haraka na uzembe kupungua kabisa serikalini na wananchi kupata haki na kero zao kutatuliwa haraka, jua serikali iko chini ya Chama Tawala, usichanganye mambo, lazima serikali ifuate amri au maagizo ya Chama Tawala, hivyo hakuna tofauti kati ya KM na Mwenezi.
 
Ndo nasemaje,

Ikiwa uelekeo wa Mwenezi uko sahihi, kwanini wasikae kikao na kupotosha uelekeo huo uwe wa chama kizima?
Simpendi kabisa Makonda, lakini Kwa watendaji wa serikali ya CCM Makonda Yuko Sahihi na atapata uungwaji mkono Sana, maana Tanzania bado ni nchi ya wanyonge na itaendelea kuwa hivyo na ndio mtaji wa CCM.
 
Achofanya Makonda kama Mwenezi sio anafanya tu, Mwenyekiti wetu, Mh. Samia kampa baraka zote, labda hujui vema CCM wewe, KM anajua vema pia anachofanya Makonda, pia KM kampa baraka, mwenezi hawezi fanya kazi bila kibali cha KM, na kazi hiyo kuzunguka mikoani na kufuatilia kazi za maendeleo ni jukumu la Chama kuisimamia serikali

Labda wewe ulitaka nae KM aende kwa mtindo wa Makonda, hapana, sio lazima, lakini kwa jinsi tunajua watendaji serikalini, mtindo wa Makonda unafaa zaidi kwani utaleta matokeo chanya haraka na uzembe kupungua kabisa serikalini na wananchi kupata haki na kero zao kutatuliwa haraka, jua serikali iko chini ya Chama Tawala, usichanganye mambo, lazima serikali ifuate amri au maagizo ya Chama Tawala, hivyo hakuna tofauti kati ya KM na Mwenezi.
Maelekezo na makaripio ya Mwenezi majukwaani kuhusu tatizo la Umeme nchini Kwa Mfano,

Yamepunguza vipi na Kwa kiasi Gani mgao wa umeme nchini?
 
Achofanya Makonda kama Mwenezi sio anafanya tu, Mwenyekiti wetu, Mh. Samia kampa baraka zote, labda hujui vema CCM wewe, KM anajua vema pia anachofanya Makonda, pia KM kampa baraka, mwenezi hawezi fanya kazi bila kibali cha KM, na kazi hiyo kuzunguka mikoani na kufuatilia kazi za maendeleo ni jukumu la Chama kuisimamia serikali

Labda wewe ulitaka nae KM aende kwa mtindo wa Makonda, hapana, sio lazima, lakini kwa jinsi tunajua watendaji serikalini, mtindo wa Makonda unafaa zaidi kwani utaleta matokeo chanya haraka na uzembe kupungua kabisa serikalini na wananchi kupata haki na kero zao kutatuliwa haraka, jua serikali iko chini ya Chama Tawala, usichanganye mambo, lazima serikali ifuate amri au maagizo ya Chama Tawala, hivyo hakuna tofauti kati ya KM na Mwenezi.
Oneni jinga hili, Yani Rais na Amiri Jeshi mkuu mwenye vyombo vyote na mamlaka yote amtume Makonda ashindwe kuongea mwenyewe?

Ndio maana namuunga mkono Makonda katika hili maana CCM mmejaa mazezeta.
 
Simpendi kabisa Makonda, lakini Kwa watendaji wa serikali ya CCM Makonda Yuko Sahihi na atapata uungwaji mkono Sana, maana Tanzania bado ni nchi ya wanyonge na itaendelea kuwa hivyo na ndio mtaji wa CCM.
Mwelekeo wa Mwenezi ndo mwelekeo wa mkt na chama kizima,

Au ni mwelekeo binafsi wa Mwenezi?
 
🤣🤣🤣
Mbona muoga ndugu yangu ukiwa msema kweli usiogope kitu
No,

Siogopi!!

HOFU ni DHAMBI!!

Sababu za kutomtaja kijana Kwa Jina lake, ni za kiufundi zaidi😀😀

Anyway, chama hiki kisipokaa na kutatua hili, hata katika uteuzi na ukataji wa wagombea katika nafasi mbalimbali mtikisiko wake na wimbi la upinzani ndani ya chama utakuwa mkubwa sana.

Tusubiri.
 
Mwenezi Kamkaripia nani? Hivi nyie CHADEMA mtaelevuka lini?
Mimi ni Mzalendo nisiye na chama chochote.

Nakubali sana Uzalendo na uchapakazi wa Hayati Magu katika Nchi hii.

Ninachopinga ni kijana kujitutumua kwamba anaweza kuvivaa viatu vya mzalendo Magu.
 
Back
Top Bottom