Pre GE2025 Kutofautiana kauli na mtizamo wa Katibu Mkuu na Mwenezi CCM kunaashiria nini kuelekea Uchaguzi?

Pre GE2025 Kutofautiana kauli na mtizamo wa Katibu Mkuu na Mwenezi CCM kunaashiria nini kuelekea Uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Salaam, Shalom!!

Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.

KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.

Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?

Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?

Karibuni 🙏
Kuna manisha ni siasa mizuka.
 
Enzi za Giza makonda usikute alikuwa BABU

Kama ilivyo kwa mwegelo kuwa mama yetu , wakati Giza nambamoja akiwa utawalani nchi ya mmomonyoko
 
Lini Nchimbi alimpigia simu waziri au mtendaji hadharani kutaka ufafanuzi jukwaani?
Nchimbi yeye anapenda sana mambo ya sirini ili na yeye apewe hongo na watendaji wazembe serekalini, we need a transparent government ! Makonda yuko sahihi!!
 
Salaam, Shalom!!

Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.

KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.

Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?

Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?

Karibuni 🙏
Elewa jambo ccm hata watofautiane vip linapokuja swala la uchaguzi niwamoja so achana nao
 
Makonda muigizaji ila yuko na kipawa fulani cha kufanikiwa anayoyataka, sasa hivi watu washaanza kutekwa ile Makonda style. Nchimbi ni msomi anapeleka siasa za kisomi lakini ccm wao hawahitaji siasa za kisomi. Wameishiwa mbinu ndio maana wakamkumbuka makonda aje aokoe jahazi.
Mwisho wa siku wote wanajuana magamba sijui mtu kama manara, mwanafa, marehemu le mutuz waliowahi kumzodoa makonda hadharani wakikutana nae wanajisikiaje.
Makonda hana akili yoyote ya kutatua changamoto ni master of ceremony mzuri kwa kupiga kelele tuu hakuna changamoto atakayo tatua anafanya siasa kwa ku counter siasa za wapinzani basi na ikipita 2025 watamuweka pembeni ila itakuwa too late maana atajizolea umaarufu mkubwa sana kwa hivi anavyoenda.
 
Salaam, Shalom!!

Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.

KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.

Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?

Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?

Karibuni 🙏
Katiba mpya!
 
Mbowe na Lisu kutofautiana msimamo kunaashiria nini kuelekea Uchaguzi wa 2025?

Pili KM wenu hawezi kuwa na ushawishi kama wa Makonda
 
Halafu wote watu wa ndumba na ngayi
Hahahahaha Gamboshi VS Kwa Madiba. Ila Mkubwa ana dalili za kufeli kwa sababu sisi kama Chama tunaangalia mwenye manufaa zaidi na uendelevu wake. Makonda yupo likely kudumu kwenye siasa zetu ki chama na bado mdogo, Dkt Nchimbi ni mzee na ni mbinafsi hana maono kwa wananchi. Tunataka mtu anayemuongezea uungwaji mkono Dkt Samia ktk ushindi siyo anayegawa watu kwa matabaka kama Dkt Nchimbi. Sisi Chawa wa Dkt Samia hatumpendi kabisa Dkt Nchimbi baada ya kauli yake ile ya siku ile ya kuapishwa ya kuanza kumdhihaki Dkt Magufuli.
 
Ikiwa wananchi ndo wapiga kura,

Msimamo na uelekeo wa nani ufuatwe kati ya KM na Mwenezi?
Japo wote wawili siwakubali kwa sababu CCM imeshapoteza mwelekeo, lakini kufanya maigizo kama ya Makonda kunaleta cheap popularity inayo-attract kura za wajinga, lakini nchi inazidi kudidimia. Kwangu mimi kiongozi mzuri ni yule anayeangalia mambo in a big picture na yuko tayari kukosa umaarufu kwa sababu tu ya kusimamia njia sahihi.
 
Makonda makalio makubwa bado mzimu wa Chato upo kichwani kwake, maana aliutangazia umma kwamba hatausaliti mpk atakapoenda kaburini.

Ule mzimu wa Chato ndiyo uliasisi tabia ya kuwadhalilisha watendaji wa serikali na Makonda makalio makubwa anaiendeeleza tabia hiyo akidhani itampa umaarufu..

Kifo cha kisiasa cha Makonda anakiandaa mwenyewe Makonda.
 
Ningekuwa Makonda ningekusina alama za nyakati nikajilia zangu mema ya nchi.
 
Oneni jinga hili, Yani Rais na Amiri Jeshi mkuu mwenye vyombo vyote na mamlaka yote amtume Makonda ashindwe kuongea mwenyewe?

Ndio maana namuunga mkono Makonda katika hili maana CCM mmejaa mazezeta.

Wewe stupid hunijui, pumbaf mkubwa wewe, hooligan, wewe uko nje ya CCM unajua nini wewe, nyoko kabisa..!!

Infact, mimi naijua CCM kuliko ukoo wako and CCM it has a lot of brainy people, tena ukome kama ulivyokoma titi la mama yako if you think CCM kuna wajinga, mjinga ni wewe, scented mouth and shithole kabisa..

Makonda kapewa maelekezo na Mwenyekiti wa CCM, tena maelekezo 10… sbb hujui kitu funga your scented mouth..!! Nasty..!! Unafikiri mie wa kuongea kama wewe mitandaoni ukiwa hujui kitu, i am in the inner circle of CCM, pumbaf wewe.

View: https://youtu.be/QcP7wtRKXfI?si=oQx_mBmDATzZ4zx3
 
Back
Top Bottom