Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Mambo ya siasa wanajuana wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya siasa wanajuana wenyewe
General Ulimwengu: Nchi ngumu hii 😀😀😀
Yaache yaparuraneSalaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni [emoji120]
Kila kitu ni siasa,Mambo ya siasa wanajuana wenyewe
Ndo tunataka uelekeo na muono wa pamoja.Nchimbi yeye anapenda sana mambo ya sirini ili na yeye apewe hongo na watendaji wazembe serekalini, we need a transparent government ! Makonda yuko sahihi!!
Watanzania wengi sana bado hawajaelewa kuwa Makonda anafanya mazingaombwe tu.Umenisoma vizuri? Mkuu rudia tena. Nimesema kuwa kwenye nchi ya ma-nyumbu, usanii wa Bashite hupendwa zaidi kuliko wachapakazi wa kweli. Huu ni ukweli mchungu. Nikuulize: Huko Bashite anakopita kila siku tena na msafara wa kitajiri akijifanya kutatua matatizo, kwa nini anapata wasikilizaji wengi kabisa na wengine wanafikia hatua ya kumlilia shida zao? Jibu ni kwamba wananchi hawana upeo wa kuona kuwa hata huyo Bashite na msafara wake, na ufanyajikazi wake ndiye anasababisha matatizo wanayotaka yatatuliwe. Kwa kifupi ni kwamba wananchi wanaliangukia na kulisihi tatizo kubwa liwatatulie matatizo yao madogo madogo.
Ikiwa Mwenezi anaigiza,Watanzania wengi sana bado hawajaelewa kuwa Makonda anafanya mazingaombwe tu.
Chama chenyewe ni Chama Cha Maigizo.Ikiwa Mwenezi anaigiza,
Nani Hasa anatetea maslah ya Wananchi ndani ya chama bila kuigiza?
Ikiwa chama Cha KIJANI ni Cha maigizo,Chama chenyewe ni Chama Cha Maigizo.
Huyu Mwenezi alikuwa bench, wakamuita, huku wakimjua. Wamepanga yote haya.Ikiwa chama Cha KIJANI ni Cha maigizo,
Basi Mwenezi ni Actor mzuri!!
Na ikiwa ndivyo ilivyo, basi wakae chini na kutengeza script ya pamoja.
Najiuliza huo mpango, unamnufaisha au kumuharibia mkt Kwa kiwango Gani?Huyu Mwenezi alikuwa bench, wakamuita, huku wakimjua. Wamepanga yote haya.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Sasa maigizo si ndiyo yawawaondoa watu katika reli?Najiuliza huo mpango, unamnufaisha au kumuharibia mkt Kwa kiwango Gani?
Umeme, sukari nk nk Bado kizumgumkuti pamoja na maigizo yote!!
Mheshimiwa Makonda ni mtetezi wa wanyonge.ni sauti ya wanyonge.ni Kiongozi anayezungumza yake yaliyo katika vifua na mioyo ya watanzania.ndio maana unaona namna watu wanavyofurika na kumiminika katika mikutano yake ili kupeleka kero zao .Katibu Mwenezi wa chama tawala amemuagiza waziri wa Tamisemi kumsimamisha KAZI mkurugenzi wa Pangani haraka.
Cc: Lucas mwashambwa
Siwezi kuwaacha, nawasaidia wananchi kujua mbivu na mbichi.Elewa jambo ccm hata watofautiane vip linapokuja swala la uchaguzi niwamoja so achana nao
Mamlaka ya kuagiza waziri wa Tamisemi kumfuata KAZI mkurugenzi wa Pangani yameainishwa kifungu kipi katika KATIBA ya chama Cha MAPINDUZI CCM?Mheshimiwa Makonda ni mtetezi wa wanyonge.ni sauti ya wanyonge.ni Kiongozi anayezungumza yake yaliyo katika vifua na mioyo ya watanzania.ndio maana unaona namna watu wanavyofurika na kumiminika katika mikutano yake ili kupeleka kero zao .
CHADEMA haiongelewi hapa🙏Makonda mmoja ni sawa na mkusanyiko wa kamati kuu nzima ya CHADEMA na bado wataburuzwa tu. Kwa sasa nchi nzima imetega masikio na kuelekeza macho yake katika ziara za Mheshimiwa Makonda kufuatilia kinachojili huko.