Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Huwezi ukahubiri neno la Mungu bila kumtaja shetani na Mazambi yake na ubaya wake.CHADEMA haiongelewi hapa🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi ukahubiri neno la Mungu bila kumtaja shetani na Mazambi yake na ubaya wake.CHADEMA haiongelewi hapa🙏
1.Mwenezi hajapata somo la "Leadership"Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Tangia lini umesikia kuwa waziri anamfukuza kazi mkurugenzi? Kazi ya waziri ni kumsimamisha kazi ,kuunda tume ya kiuchunguzi na kutoa ushauri kwa mamlaka ya uteuzi ambaye ni Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan.Mamlaka ya kuagiza waziri wa Tamisemi kumfuata KAZI mkurugenzi wa Pangani yameainishwa kifungu kipi katika KATIBA ya chama Cha MAPINDUZI CCM?
Angalia video kwenye post no 54.Nini maana ya kukaripia?
Wananchi wanamlipa mshahara Mwenezi wa chama?Tangia lini umesikia kuwa waziri anamfukuza kazi mkurugenzi? Kazi ya waziri ni kumsimamisha kazi ,kuunda tume ya kiuchunguzi na kutoa ushauri kwa mamlaka ya uteuzi ambaye ni Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan.
Chama cha Mapinduzi ndicho kilichounda serikali.ndicho kilicho hadi ilani yake ambayo ndio kama mkataba na watanzania kwa miaka mitano.huo mkataba ukapewa serikali ili kuutekeleza kama ulivyo kwa kuzingatia muda husika.kwa hiyo chama kina haki asilimia zote za kutaka kujuwa namna mkataba unavyotekelezwa,aina ya huduma wanazopewa wananchi,kasi ya kupeleka huduma na ufanisi wake. Lakini pia kufuatilia na kujuwa wale wanaokwamisha utekelezaji wa mkataba wake na wananchi. Na ikibainika mahali popote pale kuna mtu anakwamisha utekelezaji wa mkataba wake na wananchi ni lazima itoe maagizo kwa serikali yake kutaka kupata majibu na kutia maagizo ya nani na nani awekwe pembeni kwa maslahi ya chama.kumbuka anayeenda kuomba kura kwa wananchi ni chama na siyo serikali.
Nisaidie kuyajua mamlaka ya Katibu Mwenezi wa CCM yaliyoainishwa na Katiba ya chama.Tangia lini umesikia kuwa waziri anamfukuza kazi mkurugenzi? Kazi ya waziri ni kumsimamisha kazi ,kuunda tume ya kiuchunguzi na kutoa ushauri kwa mamlaka ya uteuzi ambaye ni Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan.
Chama cha Mapinduzi ndicho kilichounda serikali.ndicho kilicho hadi ilani yake ambayo ndio kama mkataba na watanzania kwa miaka mitano.huo mkataba ukapewa serikali ili kuutekeleza kama ulivyo kwa kuzingatia muda husika.kwa hiyo chama kina haki asilimia zote za kutaka kujuwa namna mkataba unavyotekelezwa,aina ya huduma wanazopewa wananchi,kasi ya kupeleka huduma na ufanisi wake. Lakini pia kufuatilia na kujuwa wale wanaokwamisha utekelezaji wa mkataba wake na wananchi. Na ikibainika mahali popote pale kuna mtu anakwamisha utekelezaji wa mkataba wake na wananchi ni lazima itoe maagizo kwa serikali yake kutaka kupata majibu na kutia maagizo ya nani na nani awekwe pembeni kwa maslahi ya chama.kumbuka anayeenda kuomba kura kwa wananchi ni chama na siyo serikali.
Ndio wanamlipa kupitia chama chake.maana chama chochote chenye wabunge bungeni kinapata Ruzuku ambapo hiyo Ruzuku ni kodi za watanzania.Wananchi wanamlipa mshahara Mwenezi wa chama?
Wanyonge Gani walipinga kura kumchagua Mwenezi wa chama Cha MAPINDUZI?Mheshimiwa Makonda ni mtetezi wa wanyonge.ni sauti ya wanyonge.ni Kiongozi anayezungumza yake yaliyo katika vifua na mioyo ya watanzania.ndio maana unaona namna watu wanavyofurika na kumiminika katika mikutano yake ili kupeleka kero zao .
Walipiga kura kwa CCM ili uwaletee viongozi waadilifu na wenye uchungu na maisha ya watanzaniaWanyonge Gani walipinga kura kumchagua Mwenezi wa chama Cha MAPINDUZI?
Kwahiyo John Mrema, Mwenezi wa CDM anaweza Kutoa maelekezo Kwa waziri wa Tamisemi ikiwa chama chake kitapewa ridhaa kuongoza?Ndio wanamlipa kupitia chama chake.maana chama chochote chenye wabunge bungeni kinapata Ruzuku ambapo hiyo Ruzuku ni kodi za watanzania.
KM ni mkubwa Kwa Mwenezi hivyo warudi vikaoni na Kutoka na mwelekeo wa pamoja.1.Mwenezi hajapata somo la "Leadership"
2.Njia alizopita hadi kufikia hapo alipo zinampa kiburi,kutokuwa na utii kwa viongozi wa juu yake!
3.Katibu Mkuu yupo sahihi.
4.Siku za nyuma vijana waliandaliwa kwa ajili ya propaganda mtandaoni,sasa ndio wanaotumika kusifia kila afanyalo mwenezi hata pale anapokuwa yupo njia ya utaratibu!
CHADEMA haina hiyo nafasi wala haijikupata hiyo nafasi na wala hatuwezi kujadili hilo suala maana Ni CCM Pekee iliyo na uwezo wa kuiongoza TanzaniaKwahiyo John Mrema, Mwenezi wa CDM anaweza Kutoa maelekezo Kwa waziri wa Tamisemi ikiwa chama chake kitapewa ridhaa kuongoza?
Kwani usipoitaja CDM posho Yako haiingii?Huwezi ukahubiri neno la Mungu bila kumtaja shetani na Mazambi yake na ubaya wake.
Hawawezi.Ndo nasemaje,
Ikiwa uelekeo wa Mwenezi uko sahihi, kwanini wasikae kikao na kupitisha uelekeo huo uwe wa chama kizima?
Ongea Polepole,Samia atajuta kuteua kichaa, Makonda ni jinga halijui majukumu yake. Tumekuwa na makatibu wenezi wengi sijaona punguani km Makonda. KM huwa hutembea na mwenezi, sahivi mwenezi anashindana na KM. Makonda anajiona rais ni kwamba tu Samia hajamstukia. Mama acheze Nchimbi anaifahamu CCM kuliko Samia. Sehemu nimemdharau Samia ni kumteua mpumbavu Makonda. Ni ni mtu mdogo sn bali linajikweza, ameshasabisha Chongolo kuondoka, sahv ameanza na Nchimbi tuone mwisho.
Ikiwa Mwenezi ni mtetezi wa unaowaita wanyonge,Mheshimiwa Makonda ni mtetezi wa wanyonge.ni sauti ya wanyonge.ni Kiongozi anayezungumza yake yaliyo katika vifua na mioyo ya watanzania.ndio maana unaona namna watu wanavyofurika na kumiminika katika mikutano yake ili kupeleka kero zao .
Sasa Yaani Mkurugenzi kasimamishwa kazu kisa makonda huku tunakoelekea DUHTangia lini umesikia kuwa waziri anamfukuza kazi mkurugenzi? Kazi ya waziri ni kumsimamisha kazi ,kuunda tume ya kiuchunguzi na kutoa ushauri kwa mamlaka ya uteuzi ambaye ni Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan.
Chama cha Mapinduzi ndicho kilichounda serikali.ndicho kilicho hadi ilani yake ambayo ndio kama mkataba na watanzania kwa miaka mitano.huo mkataba ukapewa serikali ili kuutekeleza kama ulivyo kwa kuzingatia muda husika.kwa hiyo chama kina haki asilimia zote za kutaka kujuwa namna mkataba unavyotekelezwa,aina ya huduma wanazopewa wananchi,kasi ya kupeleka huduma na ufanisi wake. Lakini pia kufuatilia na kujuwa wale wanaokwamisha utekelezaji wa mkataba wake na wananchi. Na ikibainika mahali popote pale kuna mtu anakwamisha utekelezaji wa mkataba wake na wananchi ni lazima itoe maagizo kwa serikali yake kutaka kupata majibu na kutia maagizo ya nani na nani awekwe pembeni kwa maslahi ya chama.kumbuka anayeenda kuomba kura kwa wananchi ni chama na siyo serikali.
Hiyo vita ya ndani ya chama, inamfaidisha nani?Siasa za DAB ndizo wanazozihitaji wanyonge.
Nchimbi ni moja ya viongozi wenye falsafa za CCM ILIYOCHOKWA.