- Thread starter
- #41
Vp, CCM imeshawaletea CDM utekelezaji wa Ilani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp, CCM imeshawaletea CDM utekelezaji wa Ilani?
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa serikali lakini hakugusia kuhusu wao kuhojiwa ili watoe maelekezo ama ufafanuzi juu ya kadhia mbalimbali zinazowahusu wananchi.Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni [emoji120]
Kwangu Mimi Makonda NI jambazi Tu na anastahili kuwa jela.Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa Serikali, wakati huo huo Mwenezi Yeye ameendelea kupiga simu akiwahoji na Kutoa maelekezo.
Swali ni je; upi uelekeo wa chama kuelekea uchaguzi?
Wanajenga taswira Gani Kwa wanachama na wananchi?
Karibuni 🙏
Lini Nchimbi alimpigia simu waziri au mtendaji hadharani kutaka ufafanuzi jukwaani?KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani watendaji wa serikali lakini hakugusia kuhusu wao kuhojiwa ili watoe maelekezo ama ufafanuzi juu ya kadhia mbalimbali zinazowahusu wananchi.
Mtindo wa kukaripia, kukemea, kubagaza, kufedhesha na kutumbua watendaji hadharani ilikuwepo sana wakati wa utawala wa JPM. Lakini pia ndiyo mtindo ambao wananchi wengi wa hali ya chini wanaupenda sana.
TunasubiriVp, CCM imeshawaletea CDM utekelezaji wa Ilani?
Nchimbi atatengenezewa kashfa si muda mrefuLini Nchimbi alimpigia simu waziri au mtendaji hadharani kutaka ufafanuzi jukwaani?
Ndo nasemaje,Kwangu Mimi Makonda NI jambazi Tu na anastahili kuwa jela.
Lakini Kwa hili nitamtetea Makonda Yuko Sahihi.
Utawala wa Kizimkazi ni dhaifu Sana, Leo kilo ya sukari ni sh 5000/=
Sasa lazima awepo kichaa mmoja wa kuwajambisha hawa wajinga watendaji wa serikali waliojisahau.
CCM ndio yenye ilani na wanaosimamia hiyo ilani ni hao kina Makonda, Mimi nampa moyo Makonda aendelee kuwapelekesha hao watendaji wazembe wa serikali na akiweza aingie Tanesco maana Tanesco ndio imeshindikana mpaka sasa.
Ikiwa Mwenezi Yuko sahihi, huoni Kuna haja ya wao kukaa pamoja vikaoni na Kutoka na uelekeo mmoja wa chama kuelekea Uchaguzi?
Sidhani, Mimi naona kama ngoma ni DRAW tena draw tasa!!Nchimbi atatengenezewa kashfa si muda mrefu
Simpendi kabisa Makonda, lakini Kwa watendaji wa serikali ya CCM Makonda Yuko Sahihi na atapata uungwaji mkono Sana, maana Tanzania bado ni nchi ya wanyonge na itaendelea kuwa hivyo na ndio mtaji wa CCM.Ndo nasemaje,
Ikiwa uelekeo wa Mwenezi uko sahihi, kwanini wasikae kikao na kupotosha uelekeo huo uwe wa chama kizima?
Maelekezo na makaripio ya Mwenezi majukwaani kuhusu tatizo la Umeme nchini Kwa Mfano,Achofanya Makonda kama Mwenezi sio anafanya tu, Mwenyekiti wetu, Mh. Samia kampa baraka zote, labda hujui vema CCM wewe, KM anajua vema pia anachofanya Makonda, pia KM kampa baraka, mwenezi hawezi fanya kazi bila kibali cha KM, na kazi hiyo kuzunguka mikoani na kufuatilia kazi za maendeleo ni jukumu la Chama kuisimamia serikali
Labda wewe ulitaka nae KM aende kwa mtindo wa Makonda, hapana, sio lazima, lakini kwa jinsi tunajua watendaji serikalini, mtindo wa Makonda unafaa zaidi kwani utaleta matokeo chanya haraka na uzembe kupungua kabisa serikalini na wananchi kupata haki na kero zao kutatuliwa haraka, jua serikali iko chini ya Chama Tawala, usichanganye mambo, lazima serikali ifuate amri au maagizo ya Chama Tawala, hivyo hakuna tofauti kati ya KM na Mwenezi.
Oneni jinga hili, Yani Rais na Amiri Jeshi mkuu mwenye vyombo vyote na mamlaka yote amtume Makonda ashindwe kuongea mwenyewe?Achofanya Makonda kama Mwenezi sio anafanya tu, Mwenyekiti wetu, Mh. Samia kampa baraka zote, labda hujui vema CCM wewe, KM anajua vema pia anachofanya Makonda, pia KM kampa baraka, mwenezi hawezi fanya kazi bila kibali cha KM, na kazi hiyo kuzunguka mikoani na kufuatilia kazi za maendeleo ni jukumu la Chama kuisimamia serikali
Labda wewe ulitaka nae KM aende kwa mtindo wa Makonda, hapana, sio lazima, lakini kwa jinsi tunajua watendaji serikalini, mtindo wa Makonda unafaa zaidi kwani utaleta matokeo chanya haraka na uzembe kupungua kabisa serikalini na wananchi kupata haki na kero zao kutatuliwa haraka, jua serikali iko chini ya Chama Tawala, usichanganye mambo, lazima serikali ifuate amri au maagizo ya Chama Tawala, hivyo hakuna tofauti kati ya KM na Mwenezi.
Mwelekeo wa Mwenezi ndo mwelekeo wa mkt na chama kizima,Simpendi kabisa Makonda, lakini Kwa watendaji wa serikali ya CCM Makonda Yuko Sahihi na atapata uungwaji mkono Sana, maana Tanzania bado ni nchi ya wanyonge na itaendelea kuwa hivyo na ndio mtaji wa CCM.
Acha hizo,
Acha hizo,
Katika Uzi huu, tangu mwanzo mpaka hapa, sijamtaja mtu huyo Kwa Jina lake, Bali Kwa nafasi yake.
Ninazo sababu za msingi😀😀
No,🤣🤣🤣
Mbona muoga ndugu yangu ukiwa msema kweli usiogope kitu
Mimi ni Mzalendo nisiye na chama chochote.Mwenezi Kamkaripia nani? Hivi nyie CHADEMA mtaelevuka lini?
La sivyo bashite litamkuta la kumkuta. Ref. ya Ipyana na Amina ChifupaNchimbi atatengenezewa kashfa si muda mrefu
kakaripia wengi sana Ogopa Sana Technolojia ingekuwa Zaman tungejaribu kusema ni uzushi ila kwa kizazi cha saiz video zipo kibao akikaripia akiamrisha akidhihakiMwenezi Kamkaripia nani? Hivi nyie CHADEMA mtaelevuka lini?