KERO Kutohama kwa Mshahara wa Mtumishi baada ya kuhama kutoka halmashauri moja kwenda nyingine

KERO Kutohama kwa Mshahara wa Mtumishi baada ya kuhama kutoka halmashauri moja kwenda nyingine

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi?

Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie halmashauri nyingine lakini taarifa na mshahara zinasoma halmashauri nilikotoka hii siyo sawa tunapoteza stahiki zetu za msingi kama kupanda madaraja.

Naomba Raisi Mama Samia na Waziri anaehusika na Tamisemi waliangalie suala hili kwa karibu zaidi watumishi tunapitia changamoto nyingi kwasababu ya watu wachache wanaokaa kwenye viti vya kuzunguka hawajui changamoto tunazopitia.
 
Back
Top Bottom