Kutoka AI: Freeman Mbowe ulichokifanya leo hakiakisi utu, mshikamano wala hekima

Sijui why watu wanalaumu mtu kaamua kua real na kuonesha uhalisia wake

Nimegundua watu wengi wanapenda fake people ajabu hii πŸ™Œ
Nadhani utakua umesahau haraka sana Mbowe kila akifanyiwa kitu anatoa taarifa mpaka walivyokata mboga mboga na maua akaenda kulilia kwenye chama leo hii mwenzie yupo ndani kama alivyopita yeye harafu yupo anakunywa nao divai huyo sio mtu kabisa..
 
Okay
 
Sijakataa mbona upo sahihi
ila huyo ndiye Mbowe sasa
 
Ndio mnatakiwa mjiongeze anayetoa maelekezo ya lisu afanywe nini ni huyohuyo mstaafu.
 
Sijui why watu wanalaumu mtu kaamua kua real na kuonesha uhalisia wake

Nimegundua watu wengi wanapenda fake people ajabu hii πŸ™Œ
Hakuna anaelaumu ila inauma mtu tuliyekua tunamwamini kwenye chama leo anatugeuka na kula sahani Moja na maadui zetu. Ametumia rasilimali nyingi za chama kumbe Hana faida alikuwa "inside job"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…