Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Link hii
leo wanaweza pigwa 5
Hahahahaha! kwani Algeria kuna Takukuru??? au wakirudi huku bonga.Kilichopo ni kuiarifu Takukuru baadaye mahakamani.. Haiwezekani Ndala FC ipigwe
Kweli wewe kahaba.Algiers wanaliandama lango la Ndala FC dakika hizi za lala salama..Mwamuzi anaangalia saa yake.. Namna mpira umekwisha hapa kwa Ndala FC kuchalazwa bakora 4G - 0
Asanteni sana ulikuwa nami Kaabah nikikuletea matangazo bila upendeleo
Mkuu,had sasa ngap ngapi?