Kutoka Algeria: MC Alger 4 - 0 Young Africans

Kutoka Algeria: MC Alger 4 - 0 Young Africans

Goooooooooaal.. Namna Gongowazi wapigwa bao la 4...!

Matumaini yanazidi kufifia hapa
 
Tulishasahau kucheza usiku ndiyo maana tumepigwa 4:0
 
Ilikua lazima mfungwe kutokana na mazingira yenu yalivyo lakini mmefungwa magoli rahisi mno.
 
dah!mpira Wa kitanzania huu!

labda hii klabu mpya AZAM FC!wataleta changes!
 
Algiers wanaliandama lango la Ndala FC dakika hizi za lala salama..Mwamuzi anaangalia saa yake.. Namna mpira umekwisha hapa kwa Ndala FC kuchalazwa bakora 4G - 0

Asanteni sana ulikuwa nami Kaabah nikikuletea matangazo bila upendeleo
 
Kweli wewe kahaba.
 
.....jitihada daima huwa haishindi uwezo!
..R.I.P GongoWazi;
.ndo uwezo wenu uliopoishia!
.MMEKUFA KIUME;
jipigieni makofi kwa matako!
 
Back
Top Bottom