Kutoka 'Boss' Kwenda Kebehi: Mbona Heshima Hupungua?

Kutoka 'Boss' Kwenda Kebehi: Mbona Heshima Hupungua?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Moja ya kitu ambacho sisi wabongo tunajua vyema ni kumnafikiana..

Utakuwa kama mtu hakujui vyema, atakuita majina kama, boss, kiongozi, mkuu, kamanda.. And so forth..

Ila baada ya ku kujua au kuku friendzone utaanza kusikia inaitwa vitu vya ajabu, mara, yaani ukaribu ni kama kigezo cha ku cross boundaries.

Je, hii ni sababu ya malezi, au ni nature ya binadamu?

Imagine, leo uwe mtu mzito hao hao marafiki walokuea wanatumia kejeli wataanza kukunafikia na kukupa sifa, ila ukigeuza kidogo wanaanza kukung'ong'a.

Au ndo maana ya ule msemo wa misery loves company?
 
Ubinadamu kazi......
Ni YESU tu, aliyetupenda kwa pendo la AGAPE!!!
 
Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.😂🥲😂
 
Back
Top Bottom