William Ntantalila senior
Member
- Jan 12, 2019
- 45
- 13
Tanzania there is no democracy at all
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana ..hili taifaBundi kaamisha goli ......sijui lini tutapata uwezo wa kuweka akili zetu kwenye mambo ya msingi.
Bado haujakomaa kifikira ..ubongo wako mteke ..ndio maana umeshindwa kumuelewa lemaMbunge mzima anaongelea bundi sijui kobe badala ya kuongea ishu za maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa uliyemuelewa ungetoa ufafanuzi mkuuBado haujakomaa kifikira ..ubongo wako mteke ..ndio maana umeshindwa kumuelewa lema
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mheshimiwa mbunge anaamini mambo ya uchawi kama hayo inanitia wasiwasi sana kwamba tukipata bahati mbaya hatamu za serikali zikaangukia kwenye mikono ya watu wenye fikra kama hizo nchi ndiyo itakuwa imekwisha kabisa. Bora angeishia kufikiria hivyo moyoni mwake kuliko kujitangaza kwamba anaamini mawazo duni kama hayo.Mbunge wa Arusha Mjini ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Kijamii wa Twitter ambapo alikuwa akiongelea Bundi aliyeonekana jana kwenye ukimbi wa Bunge wakati wa kikao cha Bunge
Kutokana na kuwepo kwa hali hiyo Job Nduga, Spika wa Bunge aliwatoa hofu wabunge na wageni kuwa, katika mazingira ya kawaida ndege aina ya Bundi kwa wenyeji wa Kabila la Wagogo akitokea mchana hana tatizo isipokuwa Bundi wa usiku.
Hata hivyo, hakuna aliyejua huyo bundi ameingiaje ndani ya ukumbi wa Bunge hasa kutokana na usalama na usafi ndani ya ukumbi huo.
View attachment 1008776
Forget about it,mimi huwa nakukubali sana wewe ni mtu isiye na mbwembwe hupenda clean arguments hupendi matusi nilikuwa napenda une huku Chadema.
Vipi kamanda, unalionaje onaje hili suala la bundi bungeni...Bado haujakomaa kifikira ..ubongo wako mteke ..ndio maana umeshindwa kumuelewa lema
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti wewe ni THINK TANK wa bavicha!F
Forget about it,mimi huwa nakukubali sana wewe ni mtu isiye na mbwembwe hupenda clean arguments hupendi matusi nilikuwa napenda une huku Chadema.
Tunamkakati wa kupanga timu CCM imepoteza mjadala imepoteza Dira imebaki kutumia mabavu na kutunga sheria kanda mizi well!..historia itakuja kutusuta so please Msasa mimi nakujua wewe ni down to earfh man.
Ni propaganda tu kama zilivyo propaganda zenye dhamira ya kututoa kwenye malengo ya kufuatilia vitu vya maana ...Vipi kamanda, unalionaje onaje hili suala la bundi bungeni...
Ebu tiririka kamanda!
Eti wewe ni THINK TANK wa bavicha!
Kuna haja ya ufipa kuingizwa ktk national heritage tupate watalii kuja waangalia na kuingizia nchi kipato. Yaani ufipa watu hawana brains ila wanaishi freshi tu. Hii ni ajabu sana.
Sasa kama watu wamewajua ufipa ni wepesi wa kuwatengenezea matukio na wao wapate muda wa kufanya ya maana, utawalaumu?Ni propaganda tu kama zilivyo propaganda zenye dhamira ya kututoa kwenye malengo ya kufuatilia vitu vya maana ...
Mfano --issue ya utekwaji wa mo baada ya kupatikana likaibuliwa suala la kupambana na ushoga " .... and the likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangible evidence haha my footSasa kama watu wamewajua ufipa ni wepesi wa kuwatengenezea matukio na wao wapate muda wa kufanya ya maana, utawalaumu?
Raundi ijayo watapelekwa njiwa weupe kumi juu ya bati la ufipa, ili mjadili amani ya kiinimacho inayoletwa na mungu ufipa kupitia njia weupe.
Likiisha tukio hili, analetwa pweza mtabiri, hapa bendera ya ccm hapa ya chadema na huku vyama vingine. Anaambiwa achague chama kitakachoshinda uchaguzi anaenda bendera ya chadema na nyie mnafurahi na kujikita na pweza. Mkija shtuka stigglers na miradi mingine imeisha, ucjaguzi kesho asubuhi. Mwenzenu ana tangible evidence ya alichoahidi kwa wananchi.
Endelea kujadil8 bundi, utakuja jua hizo tangible evidence na impact yake 2020.Tangible evidence haha my foot
Million 50 kila kijiji ziko wapi !? Na kuna na kuna sababu zipi za kufanya propaganda kwenye masuala nyeti ambayo yana husu ustawi maendeleo ya taifa ....
Sent using Jamii Forums mobile app