Sawa kaka, wewe mwelevu, nitajie nchi moja tu duniani ambayo watu wake wapo huru, hakuna sheria za kuwabana. Nchi moja tu
Na wala sio vyama vyote vya upinzan bali ni kile chama kitakachoonekana kuchipukaVitakavyoumia ni vyama vya siasa vya upinzani, chama Tawala mambo yedede. Huwezi kumhujumu anayekupa ugali. Cha msingi hapa msajili asiteuliwe na Rais ili aweze kutenda haki kwa vyama vyote.
Mlizoea kunyofowa vipengele!
Nitajie nchi yoyote duniani isiyo na sheria ambayo watu wake wapo Huru wanafanya lolote Walitakalo. Nchi moja tu kaka
Kwa ajili ya yule bundi wa bungeni au?....... Chadema haina ubavu wa kuvuruga amani!Unaweza kuwa mwisho wa wewe kuishi kwa utulivu.
Kumbe unatambua Tanzania ni nchi ya utulivu,tulia hapohapo.Kwa hiyo Mbowe akiondoka "nchi haitatawalika?"Unaweza kuwa mwisho wa wewe kuishi kwa utulivu.