Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Acha ujinga J's hotel.Hoteli ya Magufuli ndo imekua Ikulu. Ndo wonder ulisoma degree ya law kwa miaka 20
Mkuu Victoire, hili la kusomea sheria kwa miaka 20!, this character assasination!. Akili hazifanani, wengine wanaweza kusoma miaka 3 waka graduate na wengine miaka 20!, kitu cha muhimu ni kuhitimu!.
P
 
Giza laendelea kutanda,mapopoma wanashangilia tu,Kama Corona sio tishio basi tutoke kijijini turudi mjini,PERIOD!
 
Mkuu Victoire, hili la kusomea sheria kwa miaka 20!, this character assasination!. Akili hazifanani, wengine wanaweza kusoma miaka 3 waka graduate na wengine miaka 20!, kitu cha muhimu ni kuhitimu!.
P
Ndiyo amelinganisha na namna ulivyoiita hotel kuwa ikulu.
 
Mkuu Victoire, hili la kusomea sheria kwa miaka 20!, this character assasination!. Akili hazifanani, wengine wanaweza kusoma miaka 3 waka graduate na wengine miaka 20!, kitu cha muhimu ni kuhitimu!.
P
Iam sorry brother. Ni hasira imenishika ndo maana nikaingiza la degree. Ila kweli J's hoteli tokea lini imekua Ikulu ?Hapo ndo kwenye point.
 
Na wewe unamuamini kabisa?,pole yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hongera Sana kweli mwenye bahati habahatishi!
Tulikusema Sana kuwa umetupwa!
Lakini umesimama Tena!
Kweli nimeamini Mkumbo alikuwa anafuata mamba kwenye kina kirefu!
Kwa siasazilizokuwa zinarndelea Iramba umelamba dume!
Pamoja na kuwa kimsingi huwa sikuungi mkono...ila ninavomfahamu Prof Mkumbo Ni heri UENDELEE tu kuwa mbunge ...maadam Wanyiramba bado wamelala usingizi wa pono!
Kwa heshima ya pongezi zangu hebu ukifika Kitusha pause kidogo tutafakari,tule nyama! kidogo.
Unajua angalau wewe uanukia waridi...Kinampanda!
Ukizingatia magorofa ulisnza kuyaona Hapo.
Ingawaje wewe ulidanganya umma kuwa uliona ghorofa la kwanza Ilboru!
Safari bado ni ndefu...Kwenye Siasa miaka Elfu Ni Kama siku moja:na Siku moja Ni Kama miaka Elfu,
Hongera Mayu ...Mayu kukuekelie matima anga kishela...kalibu saana!
 
Waziri wa sheria na mambo ya katiba ameagizwa kwenda kuichunguza maabara ya taifa kwa sababu ina kontrovesio nyingi.
 
Huyu ndiye rahisi mkuda na jasiri sijapata ona
Natamani ningekuwa na ujasiri kama wako mhe rais
Nakukubali sana
 
Huko mstari wa mbele ndo wapi? Yaani aje dar and then?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla,
May be nipo nje ya mada, hivi ccm mle Bungeni ina wabunge wangapi kiasi cha rais kurudia wale wale wale aliowatumbua before? Au wengi wao ni vilaza wenye akili za kukonga meza na kuomba ndiyooo!!!!
Ameona kuwa wale madokta na maprofesa wamemwangusha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…