Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #341
Mkuu Victoire, hili la kusomea sheria kwa miaka 20!, this character assasination!. Akili hazifanani, wengine wanaweza kusoma miaka 3 waka graduate na wengine miaka 20!, kitu cha muhimu ni kuhitimu!.Acha ujinga J's hotel.Hoteli ya Magufuli ndo imekua Ikulu. Ndo wonder ulisoma degree ya law kwa miaka 20
P