Kwa sababu serikali yake imeamua kututisha,yaani Magufuli anachoongea na kinachofanywa na serikali anayoiongoza ni vitu viwili tofauti. I think Kati ya Magufuli na serikali Kuna mmoja hayupo TanzaniaKuna mambo mengi ya kushangaza kuhusu Corona!. Kwanini watu wasizikiwe kwao?.
Kwanini Evod Mmanda amezikwa Mtwara kwa lazima ambao sio kwao!.
P
Safi SanaAzungumzia uwepo wake Chato. Wakati wa vita ni wakati wa vita tushikamane!.
Wabunge watakao goma kuingia Bungeni hawatalipwa posho. Rais Magufuli ameisha toa maelekezo.
P
Sio kidogo tuDuh, wakati rais Magufuli akihutubia nikamsikia akikohoa kidogo!.
P
Danger sanaDuh, wakati rais Magufuli akihutubia nikamsikia akikohoa kidogo!.
P
Hana akili hio.Mkuu Mwambie Mheshimiwa Maghufuli Kuwa Sisi Sector ya Utalii Tunateseka Kutoka Mshahara wa Mwezi Hadi wa Siku Tuko Hali Mbaya. Atoe Fungu kwa ajili Yetu. Aondoe Madeni Ya Kodi wakati Huu. Bili Za Umeme wa Viwandani Zipunguzwe.
Kampuni ziwe Funded Ziweze kutulipa wakati Huu.
Hiyo ya papai ni sample ya binadamu mwenye jina gani etiMagufuli kiboko!.
Aliichunguza maabara kwa kupeleka samples mambalimbali kwa siri kwa kuzipa majina ya uongo ya binaadamu, sample ya papai ikakutwa ni positive!.
P
Hivi sampuli ya kupima corona huwa nini? Kama ni damu papai pia lina damu?Hii ndio raha ya kua na kiongozi mwenye uwezo mkubwa kichwani safi Sana Magufuli.
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
KWA HALI HII KWANINI TUSIISHI KWA HOFU??!Mbali na hayo pia Rais ameelezea namna ambavyo maabara ya kupima Corona ilivyojaa madudu.
Kuna sampo mbalimbali, zikiwemo za mbuzi, kondoo, papai, na mafenesi zilitumwa kwa Siri maabara na Kati ya sampo hizo zipo zilizoonyesha kuwa zimeathirika na Coronavirus.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]