Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, wakati rais Magufuli akihutubia nikamsikia akikohoa kidogo!.
P
Ampongeza Mufti kumhakikishia Waislamu wataendelea kufunga licha ya Corona.
P
Anasema eti Corona itakuwa kama UKIMWI na malaria eti tuishi tuuuu...Ikiwezekana wagonjwa wa corona tuishi nao kama wagonjwa wa ukimwi" ...hivi huyu mzee anaijua vizuri corona au anaropoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona anawaandaa mbumbumbu wa kitanzania kwenda kwenye machinjio ya corona. Ngoja ianze kukamua. MtakimbianaRais Magufuli amesisitiza Tanzania vifo ni watu 16 tuu!. Kuna mtu alishauri tufunge masoko!. Watu wakanunue wapi vyakula. Msipelekwe na mihemuko ya watu short sighted!.
P
Mkuu Paschal najua wewe umefanya kazi na msingwa na una namba yake.Unaweza ukamuambia msingwa akamwambia rais maneno haya"Matendo yanaongea maneno mengi kuliko Maneno yenyewe" yeye kushindwa kwenda kumuaga waziri wake na jaji mkuu msitaafu haoni ndo anatutia hofu zaidi?Kuhusu Corona, Rais Magufuli anasisitiza tusiwe na hofu, hili nalo litapita tuu.
Hofu tuiondoe, hili tatizo litaondoka
P
Mkuu si Rais angeomba formula tu ..tujitengenezee huku..Hiyo dawa iwekewe na mkuyati pia ili itibu nguvu za kiume kwani wagonjwa wengi wa Corona wana kisukari