Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Kachukizwa kufungwa makanisa na misikiti ilihali haikujengwa na viongozi wa dini,kasema waachwe watu waende kwenye ibada zao kwani waliijenga wenyewe
 
Haya wale wafuasi wa Kibwetereeeee leteni hoja mezani.
 
Ni kuwadhihaki waliofiwa na wapendwa wao! Tumwachie Mungu.
Yeye kajiweka safely na familia yake, sisi makaputi anasema 16 siyo kitu, tuchape kazi.
 
Rais Magufuli amesisitiza Tanzania vifo ni watu 16 tuu!. Kuna mtu alishauri tufunge masoko!. Watu wakanunue wapi vyakula. Msipelekwe na mihemuko ya watu short sighted!.
P
Naona anawaandaa mbumbumbu wa kitanzania kwenda kwenye machinjio ya corona. Ngoja ianze kukamua. Mtakimbiana
 
Magufuli ni Musa anayetupeleka Nchi ya ahadi

Watenda dhambi kama kile chama tutawaacha kanani
 
Halafu mbona koozi limemng'ang'ania sana. Wiki ya tatu sasa halitoki. Mzee jiangalie huenda lile fenesi walichanganya na sampuli yako wakajisahahu
 
Huyu jamaa ni tatizo kweli kweli, anasema watu waende makanisani na misikitini wakati yeye Dsm hataki kukanyaga!.

By the way, siku hizi sioni hata zile picha zake akiwa kanisani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu Corona, Rais Magufuli anasisitiza tusiwe na hofu, hili nalo litapita tuu.
Hofu tuiondoe, hili tatizo litaondoka
P
Mkuu Paschal najua wewe umefanya kazi na msingwa na una namba yake.Unaweza ukamuambia msingwa akamwambia rais maneno haya"Matendo yanaongea maneno mengi kuliko Maneno yenyewe" yeye kushindwa kwenda kumuaga waziri wake na jaji mkuu msitaafu haoni ndo anatutia hofu zaidi?
 
Hiyo dawa iwekewe na mkuyati pia ili itibu nguvu za kiume kwani wagonjwa wengi wa Corona wana kisukari
Mkuu si Rais angeomba formula tu ..tujitengenezee huku..

Akipewa fake itakuaje... Na itakuja kiasi gani kutibu wagonjwa wote..

Kuna shida hapa. Nafikiri Rais kapanic..
 
Back
Top Bottom