carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,771
PoaBasi jiandae.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoaBasi jiandae.....
Kuna hotuba ya kusikiliza?Hayo ndio mnayaweza kukebehi na kupinga
Mwigulu kaambiwa afuatilie mambo ya kisheria,muda wa kusikiliza hotuba hamna mnakuja humu kupoozana stress tu
Rudia kusoma bipa ushabiki utaelewaHuwa hatuweki majina ya watu, huu ni uongo! Maabara do not deal with names they deal with sample lab numbers.
Yule Rais wa Russia iliyosemekana amepandikizwa na nchi zingine ili Urusi uvurugike na ikavurugika alianza namna hii. Tusipochukua hatua mapema tutajikuta pabaya; jamaa ni pandikizi kabisa.Hayo ndio mnayaweza kukebehi na kupinga
Mwigulu kaambiwa afuatilie mambo ya kisheria,muda wa kusikiliza hotuba hamna mnakuja humu kupoozana stress tu
Safi kabisa umejenga hoja kuntu mkuu,ningependa wote tungejikita katika maswali ya namna hii pengine wataalamu waliomo humu wangepata vya kujibu lakini "vitoto" vya chuo vinabwabwaja mambo ya ajabu siasa siasaaaaaaaa siaaaaaaasa tu tunaboa sana na saaaaana yaaaniInawezekana kuna kitu kimegundulika nyuma ya Ugonjwa huu, tuwe makini sana.
Kama wamechunguza, kuna uwezekano wa mengi kutokusemwa wazi na shirika la afya dunia.
Kama ilivyoaminika Iran, China na Marekani katika utafiti wao wa Kijasusi, vipi hapa ?
Ndio mana nasema hukusikiliza hotubaSheria ya kupima mapapai?
Sio kucheki anaambiwa achunguze njama ktk upimaji na utoaji majibu. Anachoongea Rais kingine, wewe nawe kingine. Kumbuka ndani ya wizara kuna DPP.Waziri wa sheria kwenda kucheki maabara za upimaji wa covid 19 mbona sioni uhusiano hapo...!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Pascal Mayalla,
Eti Daniel kwenye tumbo la Samaki. Ni Yona bwana. Rais wetu kumbe hata biblia hasomi.
Mbona unajadili?Kuna hotuba ya kusikiliza?
Wanabodi
Kwa wale wenye nafasi, ifika saa 4:15 asubuhi hii, tujiunge na TBC kuangalia matangazo ya moja kwa moja ya live mubashara kutokea ikulu ya Chato.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Tweet ya Gerson Msigwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Mei, 2020 atamuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Tukio hilo litarushwa moja kwa moja na vyombo vya habari kutoka Chato Mkoani Geita, kuanzia saa 4:15 asubuhi. Gerson Msigwa on Twitter
Karibuni mshuhudie
Pia leo ni siku ya kimataifa ya kuadhimisha siku ya uhuru wa habari, huku Tanzania tukiwa kwenye hii vita ya kimataifa ya kupambana na janga la Corona, serikali ya Tanzania ikishutumiwa kuficha idadi ya kweli ya vifo vya Corona, hivyo tufuatilie kwa makini tukimsikiliza rais Magufuli atazungumza nini.
P
UPDATES
MAGUFULI: PAPAI LILIKUTWA NA #CORONA KATIKA ‘KUTEST’ MABARA KUU
Katika kuwatoa hofu watanzania Rais Magufuli amesema kuna uwezekano watu wasio na #CoronaVirus wakaambiwa wana #CoronaVirus kwa kuwa katika kuwajaribu watu wa maabara waliwapelekea sampuli ya Oil, Papai, kondoo, mbuzi na fenesi
Papai, ndege aina ya Kware na Mbuzi walikutwa na #CoronaVirus. Rais Magufuli amesema inawezekana hawa walioko maabara wamenunuliwa na mabeberu. Kwa kuwa sampuli ya papai ilikuwa ni ya ndani ya tunda na sio nje kusema kuwa mtu aliye na #CoronaVirus aliligusa
Pia amesisitiza hatofunga mkoa wowote, na anafikiria pia kuruhusu ligi ya mpira wa miguu iendelee, kwa kuwa hakuna mwanamichezo ambaye ameathirika katika hili
Magufuli anasema inawezekana wanaofanya mazoezi hawaguswi na #CoronaVirus kwa hiyo kuwazuia mazoezi ni kutaka wapate korona
Tunaweza kuishi na #CoronaVirus kama tunayoishi na Surua, UKIMWI
Comrade leo mmepima mapapai mangapi?Ndio mana nasema hukusikiliza hotuba
Huwa mnasubiri Rais aseme mpate sababu ya kuondoa stress
Mapapai ni sampuli ilipelekwa kwa siri bila ya wao kujua,ili kupima accuracya ya maabara
Na hawapeleki kipande cha papaj,wanachukua ute tu na kuandika Daudi Mchambuzi,ngoma inarudi na postive
Hatua gani?Yule Rais wa Russia iliyosemekana amepandikizwa na nchi zingine ili Urusi uvurugike na ikavurugika alianza namna hii. Tusipochukua hatua mapema tutajikuta pabaya; jamaa ni pandikizi kabisa.
Asee komaa mzee baba Kuna wilaya utapewa soonWatanzania tusimame imara, tumeisha shinda hii vita.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabariki Watanzania wote
Hii vita tutaishinda.
Live imemalizika.
P
Usipojiongeza shauri yako; jamaa ni pandikizi...kuna wengine kule Urusi waliambiwa wakashupaza shingo kama wewe leo hapa Tanzania.Hatua gani?
Usirudie tena hii. Huu ni uuaji sawa sawa na uuaji mwingine wowote. Unajisifia upumbavu!!??Tangu Corona ilipoanza, mimi nili ji quarantine, ila Jumamosi ya jana ilikuwa ni zamu ya kusali Jumuiya home kwangu, niliwawekea viti hapo nje mimi huyo...!.
P
"Nimaamini hata fenesi, embe, ugali nk vikiwa exposed kwa corona virus vitakuwa contaminated, sijaelewa Mwalimu wa chemistry hajui hilo au anafanya maksudi kwa mambumbumbu!"Mkuu nilichofurahi ni kujua kumbe Hata raisi unaweza kuwa hana taarifa za kutosha za mambo mengi tuu!
Wataalamu kwa sisi wapenda kusoma na watafiti wametuambia corona virus wanaweza kuwa kwenye: kiti cha daladala, kitasa cha mlango, nguo tunazovaa, sakafu, kwenye viatu, kwenye wanyama tunaofuga provided vitu vimekuwa exposed kwa corona virus.
Nimaamini hata fenesi, embe, ugali nk vikiwa exposed kwa corona virus vitakuwa contaminated, sijaelewa Mwalimu wa chemistry hajui hilo au anafanya maksudi kwa mambumbumbu!
Najua mtukufu sio msomaji kama wewe na Mimi, naweza tambua hili mosi, uwasilishaji hoja, mbili, ubishani ahindanishi, tatu kushindwa kuconnect maada, unfortunately here in Tanzania we have leaders who aren't readers, sio kama mataifa mengine, leaders are knowledgeable! Here leaders are dumps!!