Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria Vs Corona?Waziri mteule wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba ataapishwa leo saa 4:15 katika Ikulu ndogo ya Chato.
Tukio zima litaongozwa na Rais Magufuli.
Up dates;
Mwigulu amepewa majukumu ya kupambana na Corona kisheria
Source Clouds tv
Unaikumbuka ile katuni ya penguins of Madagascar[emoji2][emoji2]
Hao anaodai hawana corona aliwapima yeye na kwa maabara zipi?Aisee nimekaa nimefikiria sana kwa alichokifanya leo Rais Magufuli.
Nimekuja kugundua kuwa siku ile alipowaita wakuu wa vyombo vya usalama hakukosea maana aliwasisitizia kwamba kagueni vitu vyote vinavyotoka nje hata ziwe stick za meno kagua ili mradi tujue vinatoka wapi na tujue kama vipo salama, leo hii tunaambiwa vifaa vilivyopelekwa India vya kupimia Covid-19 vinafanya kazi kwa asilimia tano tu na wameamua kutokuagiza tena vifaa hivyo kutoka China.
Kitu kingine ambacho kimenifanya niwaze sana ni jinsi Magufuli alivyoamua kuutumia uwana Sayansi wake kwa kuamua ku-prove kweli kama majibu yanayotoka ni sahihi au tunachezewa kwa kupeleka maabara sample za vitu mbalimbali kama matunda na n.k Kwa akili ya kawaida huwezi kufikiria kama jamaa angefanya hivyo na hii inamaanisha nini ni kuwa jamaa kafikiria sana.
Mwisho: Watanzania wenzangu Wahindi sio wajinga mpaka wakatae vifaa vya wachina sasa inawezekana kwa wahindi kilichotokea ndo kama huku kwetu.
Hongera JPM
Yes Toto usile papai kwa sasa yana kolona
Nilikua nazungumzia hapa!
hapohapo anataka wengine wakabanane kwenye nyumba za ibada
Nakumbuka Mh.Mwigulu Nchemba alipo tumbuliwa alikuwa safarini na baada ya kutangazwa kuwa ametumbuliwa alinyang'anywa Gari njiani.Leo Baada ya kuapishwa ameambiwa aanze kazi hata huko barabarani.
Wadau imekaaaje hii?
Sent using Jamii Forums mobile app